Movie ya dont breath 2 2021

Movie ya dont breath 2 2021

Habari za mchana WanaJF filamu pendwa imeshaachiwa Unaweza Sogea Netnaija.movie kwa Uchumi huu wa tozo Netnaija.movie Mkombozi wetu [emoji39]

Kama Uliangalia Dont Breath part 1 ya mwaka 2016 basi hii ni mwendelezo wake blindman anaendelea kuuwasha moto

Binti kwenye makazi yao kulitokea ajali ya moto hivyo Akajikuta kwenye mikono Mwanajeshi wa zamani ambaye ni kipofu basi akaishi lakini mzee yule alikuwa na mbwa wake aitwaje phonex binti akaanza kufunza na mna ya kukabiliana na Mambo magumu test zote alizopewa na blindman binti alifeli kumbuka binti alijui Jina lake na wala amjui mama ake wala babake zaidi ya huyo mzee Siku moja binti anaruhusiwa kutoka nje kwenda mjini na mwanadada mmoja ambaye anafahamiana na blind man

Anapelekwa na sehemu ya michezo baadae yule mwanadada anamwambia muda umeisha hivyo waondoke Binti anaomba aende Chooni Mara moja akajisaidie wakati anatoka anakutana na mshikaji njian biniti anaojihami fasta anamwita mbwa wake phonex jamaa anamwachia lakini anamwambia Nitakuona Badae [emoji6]

Usiku wa siku hiyo Ndo Usiku walivamia nyumba ya mzee kupofu waliua mbwa wake na walimwua yule mwanadada a Kosa lingine wakachoma moto nyumba yake Waliwashiwa moto Asee mpaka kuna Jamaa Akasemehe tu kumuua akaampa tu maelekezo wapi alipo binti Kaona atakufa bure kifo asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Rate 9/10 You will see what I sEe [emoji482]

MUmalize weekend na hizi

The protege 2021
Vacation friend 2021
yakuza Princes 2021
Zone 441 2021
Luca 2021
Jolt 2021
.......

Muwe Na jumapili njema [emoji519]
Kwenye part one wale Vibaka hadi walitamani kupiga simu polisi waje kuwaokoa mzee vita yake sio ndogo. Part two sijui kwa nini director alifanya auwawe mzee wetu
 
yule mzee ni mafia sana yeye mwenyewe anajiona ni monster so acha afe tu
 
Habari za mchana WanaJF filamu pendwa imeshaachiwa Unaweza Sogea Netnaija.movie kwa Uchumi huu wa tozo Netnaija.movie Mkombozi wetu [emoji39]

Kama Uliangalia Dont Breath part 1 ya mwaka 2016 basi hii ni mwendelezo wake blindman anaendelea kuuwasha moto

Binti kwenye makazi yao kulitokea ajali ya moto hivyo Akajikuta kwenye mikono Mwanajeshi wa zamani ambaye ni kipofu basi akaishi lakini mzee yule alikuwa na mbwa wake aitwaje phonex binti akaanza kufunza na mna ya kukabiliana na Mambo magumu test zote alizopewa na blindman binti alifeli kumbuka binti alijui Jina lake na wala amjui mama ake wala babake zaidi ya huyo mzee Siku moja binti anaruhusiwa kutoka nje kwenda mjini na mwanadada mmoja ambaye anafahamiana na blind man

Anapelekwa na sehemu ya michezo baadae yule mwanadada anamwambia muda umeisha hivyo waondoke Binti anaomba aende Chooni Mara moja akajisaidie wakati anatoka anakutana na mshikaji njian biniti anaojihami fasta anamwita mbwa wake phonex jamaa anamwachia lakini anamwambia Nitakuona Badae [emoji6]

Usiku wa siku hiyo Ndo Usiku walivamia nyumba ya mzee kupofu waliua mbwa wake na walimwua yule mwanadada a Kosa lingine wakachoma moto nyumba yake Waliwashiwa moto Asee mpaka kuna Jamaa Akasemehe tu kumuua akaampa tu maelekezo wapi alipo binti Kaona atakufa bure kifo asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Rate 9/10 You will see what I sEe [emoji482]

MUmalize weekend na hizi

The protege 2021
Vacation friend 2021
yakuza Princes 2021
Zone 441 2021
Luca 2021
Jolt 2021
.......

Muwe Na jumapili njema [emoji519]
Hiyo Netnaija mnadowload vip?
 
ingia Google search netnaija.movie Ni vizuri utumie opera mini Kama unatumia Wi fi ya ofsini or whatever tumia Vpn Usiteseke

KUNA MZIGO WA SEE WA MOMOA HUKU NA SERIES KIBAO HUMO KWA HIGH QUALIT WITH LOW BUNDLE

KUNA KITU CHA WHAT IF... [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom