Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Habari zenu wanajamvi, matumaini yangu muwazima na ni matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaenda vizuri, tujitahidi jamani.
Straight to the point, leo nimetazama movie ya The BFG(mzee wa makamu) inayomuhusu mtu mkubwa na mrefu(Giant) ambaye kupitia msaada wa binti mdogo anafanikiwa kuwaondoa majitu mengine makubwa zaidi yake sehemu aliyokuwa anaishi.