FananiMedia
Member
- Jul 29, 2021
- 28
- 87
Hii Movie Imeongozwa Na Jamaa Fulani Hivi Anaitwa Mandla Dube Na Imetokana Na Historia Ya Kweli Kabisa Iliyotokea Huko Silverton, Pretoria Nchini South Africa Mwaka 1980
Humu Ndani Tutawaona Vijana Watatu Ambao Ni Freedom Fighters Wa SA Na Hawa Walikuwa Wanapambania Pia Uhuru Wa Nelson Mandela. So, Kwa Kuwa Hawakuwa Wanauwezo Wa Kwenda Kumfree Mzee Mandela Kutoka Gerezani,
Hawa Jamaa Walichokifanya Walienda Wakaiteka Benki Moja Mjini Humo
Na Kuwaweka Watu Wote Chini Ya Ulinzi. .
Na Condition Ya Kuwaachia Watu Hao Ilikuwa Ni Kwamba Nelson Mandela Pia Aachiwe.
Hii Movie Imepangwa Kutolewa April 27, 2022