Ila uongo wao una gharama sana.Kumbe wadhungu wanatudanganya hivi
Ukiangalia behind the scene sidhan km utanunua movie na utaona km umeibiwa. Behind the scene ni nzuri kuliko hata movie yenyew. Teknlojia siyo ya mchezo mchezoKumbe wadhungu wanatudanganya hivi
Kumbe ww ulikuwa unaamini? Kuna zingine wanaenda zingine hawaendi. Angalia behind the scene ya king kong ndiyo utaamini wazungu siyo binadamu bali binadamu ni sisi wafrika.Kumbe movie nzima wanaigizia ndani halafu wanazuga wako kwenye mapori na maporomoko ya ajabu.
Ukimuona mwambie akusimulie ya Florida!..kuna mzee mmoja ana exposure ya nje ya nchi,nilipata nafasi kupiga nae stori akawa ananiambia,haya maisha tunayoishi leo Tanzania kwa maana ya changamoto tunazoziona leo mfano barabara za Fly-overs,madaraja kama ya Kigamboni,Mabasi ya mwendokasi,barabara mbovu,umeme kukatika,watu kuombaomba,maji kukatika,foleni zisizo na maana,mtu kufa coz huna pesa ya matibabu,kupanga foleni benki,vipanya kubeba abiria,n.k unaambiwa wao wamarekani walipita zama hizo miaka 100 nyuma iliyopita,nikawaza sikupata jibu..