Movie Reviews

Movie Reviews

Three Musketeers
NIpe movie gani Kali yenye story nzuri
The sixth sense
Fault in our stars
The note book
Barfi ( Indian)
The green mile
Sound of freedom
Locked
juror 2
Interstellar
Get out
Us
Greenland
Changeling
Attornment
A beautiful mind
Good will hunting
Curious case of Benjamin Button
Anza na hizo bosi
 
Three Musketeers

The sixth sense
Fault in our stars
The note book
Barfi ( Indian)
The green mile
Sound of freedom
Locked
juror 2
Interstellar
Get out
Us
Greenland
Changeling
Attornment
A beautiful mind
Good will hunting
Curious case of Benjamin Button
Anza na hizo bosi
Asante mkuu
 
Babu yangu aliwahi kunisimulia kuhusu kabila lililoitwa Abatwa ....

Kabila hilo lilikuwa dogo lenye nguvu za ushirikina apahapa Africa.

Kabila hilo la kichawi ilisemekana lilikuwa na tabia ya kuwafungia watoto kwenye ulimwengu wa giza au kunywa damu zao ili waongeze umri wa kuishi duniani .

Ipo hivi hii ni 2025 , hiyo hadithi nilipewa na babu, niliona kama hadithi ya mafikirio tu na sogeza muda ili viazi vya kuchoma viive pale Asante Nyerere....

Top story kwenye ulimwengu wa filamu ni kuhusu filamu inayoitwa "WEAPONS "yani SILAHA...

Filamu hii inamuhusu kijana Alex na familia yake ,Alex alikuwa ni mtoto wa pekee kwenye familia ya Mr Lily na Mme Lily...

Ilikuwa ni familia inayoishi kwa furaha, Alex alikuwa mwanafunzi, lakini ghafla furaha yao ilingia doa baada ya kuja Gladys ambaye ni shangazi wa mama yake Alex akiwa mgonjwa mno ....

Walianza kuishi naye fresh, lakini siku moja Alex ametoka Shule alimkuta bibi yupo imara lakini wazazi wake tayari ni misukule...

Dogo alivyohoji alipewa vitisho vingi na kuambiwa akae kimya la sivyo wazazi wake watauwawa...

Bibi bado alikuwa dhaifu, bibi ili awe imara alihitaji watoto.

Kwahiyo Ale aliambiwa " mjukuu hebu kalete kifaa chochote kile cha kila mwanafunzi wa darasani kwenu alafu mimi taondoka hapa na kuwaachia hii nyumba".....

Alex alienda shule kuiba kifaa cha kila classmate na kumletea bibi mzaa mama..

Alex bila kujua kumbe anaenda kuzalisha tatizo kubwa kwenye mji wake...

Oya hii filamu inaitwa...

WEAPONS YANI SILAHA...


C&P
 
Ready or not 1 &2
4/10
It's a survival from satanic family movie. A girl married to a satanic family man whom they force to draw a card to fulfil a ritual. Unlucky for her, she drew a wrong card required her to survive a 24 hrs in a closed up mansion.
Watch if you have nothing else to watch. It's not that good.
Its full of satanic manifestation.
 
Zootopia 2
Animation.
6/1
It's fun and entertaining.
If you watch from different angle it's about land grabbing depiction. Supposedly, to me shows about Palestine and Israel saga in a different way.
 
Project hail marry
3/10
It's low average movie despite the hype it receives.
Don't waste your budles
 
Re-watch
The tree of life
7/10
It's good movie. It makes you reflects about life's journey and how everyone travels through it. Especially after facing life's challenges of death, heartbroken, loss of family connection and so many.
 
Berlin and the lady with ermine.
Mnaipa ngap?
Nataka nianze kuangalia ila kama niko low
 
Re-watch
The tree of life
7/10
It's good movie. It makes you reflects about life's journey and how everyone travels through it. Especially after facing life's challenges of death, heartbroken, loss of family connection and so many.
 
Best Trilogy to re-watch
Prometheus 10/10
Alien covenant 10/10
Alien Romulus 7/10
 
Best Trilogy to watch
Borne identity 10/10
Borne ultimatum 9/10
Borne supremacy 10/10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom