Movie Reviews

ukitaka kulia angalia za kidosi kama VEER ZARA ile muvi inatia huruma hadi kupitiliza
 
Hebu ziangalie hizi kwing lung yok,Park ying sok,shek fong Lu zote hizi za Korea hakika hautatamani kufanya mengine zaidi ya kuangalia na kulia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom