Movie Reviews

na ile haikuishia hata gray son amekufa.............

nikakasirika hadi maana iliishia juu juu

Kweli ipo katika season 3,,,,,,,,,ndio nimedownload season 3 episode ya 22 nadhani ndio ya mwisho. Hizo za kununua mtaani wanaunganisha mtu unadhani ipo mbele kumbe wanaziungaunga....
 
Kweli ipo katika season 3,,,,,,,,,ndio nimedownload season 3 episode ya 22 nadhani ndio ya mwisho. Hizo za kununua mtaani wanaunganisha mtu unadhani ipo mbele kumbe wanaziungaunga....

na hii iliishia katikati hadi nikawa nimekasirika
 
haya wale wadau wa ARROW muda ndo huu mpaka iachiwe.... duh
 
Attachments

  • 1400477143689.jpg
    1400477143689.jpg
    24.5 KB · Views: 468
hizi series ni moto wa kuotea mbali.

1. Tyrant hii imefikia epsode 1-8

2.Extant hii ipo 1-6

3. Dominion 1-7
 
Vipi ikoje hiyo?

ni zile za police procidures, kudeal na uhalifu LA. kuna jamaa anaitwa lopez amelelewa na familia ya majambazi toka akiwa mdogo so he is a family too. badae akawa polisi LAPD, ishu inakuja anapotakiwa kufanya kazi ya upolisi na kuprotect familia yake ambayo inafanya matukio ya uhalifu. iko poa, ni ya muendelezo.
 
Tyrant naicheki ni kali mno.... vipi hiyo extant inahusu nini???? Dominion ilinishinda too much imaginations.

tyrant nimeichek iko poa sana, nimependa stori yake its unique n interested. kila epsode inapoisha, u want to know what next. nimefika epsode ya 7. balsam anataka kugombea uraisi, jamal hawezi uongozi.
 
Balsam kanogewa, Jamal mwana haramu maana alivyo muua yule dingi ilikuwa balaa
 
Tyrant naicheki ni kali mno.... vipi hiyo extant inahusu nini???? Dominion ilinishinda too much imaginations.

Extant ni wana sayansi waliokubuhu wanatengeneza humanic, sasa mke wa alipelekwa zero(space) akiwa kule kumbe lilikuwa tego akapewa mimba kisayansi akaja nayo huku duniani bilakujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom