Movie Reviews

hiyo ya mwisho inaishiaje i mean S3!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mimi nimenunua hadi season 5 au ndio wale wanaziunganisha unganisha

Kama umenunua ni sio za kweli hizo. wanafupisha episodes ndio maana inakua ndefu inaenda mpaka season 5. officially imeishia season 3. grayson dead
 
Kama umenunua ni sio za kweli hizo. wanafupisha episodes ndio maana inakua ndefu inaenda mpaka season 5. officially imeishia season 3. grayson dead

na ile haikuishia hata gray son amekufa.............

nikakasirika hadi maana iliishia juu juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom