Movie Review: The Mechanic

Actually Sydney Sheldon ni Mwanaume actually I can argue kwamba ni the best author ever. yaani ukisoma "IF Tommorrow Comes" jinsi huyo mdada anavyorevenge kwa watu waliomtenda na plots alizotumia yaani its unbelievable yaani vitabu vyake huwezi kujua what is happening next na ukifungua page ya kwanza huachi mpaka umemaliza zote... Yaani believe me I have read millions of Books from the likes of James Hadley Chase, Agatha Christie to the likes of John Grisham and Erie Stanley Gardner.., lakini no one can even comes close to sheldon..., even Mario Puzzo apart from God Father and The Last Don lakini ukiunganisha vitabu vyote vya Sheldon Puzzo seems like second rated

Are you pulling my leg??? i always, always thot ni mwana mama na nisha
wahi soma one kitabu nikaishia njiani (inahusu a guy anafuatilia mtoto kwa
mdada alopandikiza mbegu yake... the storyline nzuri but the book! sijui niseme the words??)
Dah! kumbe mwanaume.... THANK YOU... But please say you are not pulling my leg....
 
why would I lie to you..., please I beg you soma kitabu chake kimoja any ambazo nimezitaja hapo juu Trust me he is the Best Author Ever..., na plots zake nyingi yaani ukisoma kwenye vitabu zipo unique please I beg you find "If Tommorrow Comes" au kitabu chake chochote utaniambia... jaribu kusearch online any of his titles... He is the Best.. angalia Biography yake hapa Sidney Sheldon - Wikipedia, the free encyclopedia
 
ha ha ha... I know you know... jinsi ulivyo eleza mtu ambae hapendi movieshaweza gusa baadhi ya vitu umegusa... sio ndg zetu wale kua tuatapatianames all the time....lol
Partner....what‘s with the name change?!Nimeona kabla sijaingia kwenye thread nikahisi kuna mtu kachakachua jina lako alafu akajiunga nalo!!!Nwy ndo nimemaliza THE DILEMMA....and i personally like it!!What do you think of it!!?
 
why would I lie to you..., please I beg you soma kitabu chake kimoja any ambazo nimezitaja hapo juu Trust me he is the Best Author Ever..., na plots zake nyingi yaani ukisoma kwenye vitabu zipo unique please I beg you find "If Tommorrow Comes" au kitabu chake chochote utaniambia... jaribu kusearch online any of his titles... He is the Best.. angalia Biography yake hapa Sidney Sheldon - Wikipedia, the free encyclopedia

Ume recommend nitajitahidi kufuatilia, but unajua the way vitabu ilivyo kazi kupata specific..
But hata hivyo najisifu am good katika kutafuta... it will take time but nitapata tu!
Thank you for the link na infor ulizonipatia for it has been useful for me nimepata mambo
mengi... Thank you...
 
Partner....what‘s with the name change?!Nimeona kabla sijaingia kwenye thread nikahisi kuna mtu kachakachua jina lako alafu akajiunga nalo!!!Nwy ndo nimemaliza THE DILEMMA....and i personally like it!!What do you think of it!!?

Partner nimearifu watu woote nilo pm nao leo na hata wasio kuwepo...
Yaani umbea woote ule tulopiga sijakwambia hii kitu?? Am sorry for it seems
you are the only one sijatendea haki katika wakaribu wangu..

Sikutaka kukwambia nilipoona ni Vince Vaughan, na wadada Jennifer Connelly na Ryder wakiwemo
nilijua itakua mbonge la movie... Ni nzuri but Partner ki ukweli sikuipenda... kila nikiangalia
that day i was like; guys where is the funny romantic vibe???
 
Partner nimearifu watu woote nilo pm nao leo na hata wasio kuwepo... Yaani umbea woote ule tulopiga sijakwambia hii kitu?? Am sorry for it seems you are the only one sijatendea haki katika wakaribu wangu..Sikutaka kukwambia nilipoona ni Vince Vaughan, na wadada Jennifer Connelly na Ryder wakiwemonilijua itakua mbonge la movie... Ni nzuri but Partner ki ukweli sikuipenda... kila nikiangaliathat day i was like; guys where is the funny romantic vibe???
Partner that was kinda unfair ila umesamehewa!Yeah i expected more romance and jokes aswell but it wasn‘t all that bad.It does give great insight on relationship and friendship...and that‘s the part i liked alot!!Reminds me of something i have kept from someone though i know i shouldn‘t!!
 
Partner imagine ningekupa mawazo yangu hayo kabla hujaangalia na movie usha itia mkononi...
that would have been so unfair, hata ningekua mimi ningetaka unifanyie hivyo hivyo...
Kuhusu hio bolded tokana na the way nimeeangalia movie ha ha ha....
i bliv i know exactly in what situation upo....lol

Hata hivyo sio mbaya bana... ya kawaida it is worth watching... but kurudia... mmmh! depends...
 
Partner imagine ningekupa mawazo yangu hayo kabla hujaangalia na movie usha itia mkononi... that would have been so unfair, hata ningekua mimi ningetaka unifanyie hivyo hivyo... Kuhusu hio bolded tokana na the way nimeeangalia movie ha ha ha.... i bliv i know exactly in what situation upo....lolHata hivyo sio mbaya bana... ya kawaida it is worth watching... but kurudia... mmmh! depends...
Kweli its not worth watching twice....Hahahha partner yani you have no idea!Natamani ingekua unavyofikiria....ila imagine kitu ambacho ni kikubwa kuliko kilichokuwepo kwenye movie!
 
Kweli its not worth watching twice....Hahahha partner yani you have no idea!Natamani ingekua unavyofikiria....ila imagine kitu ambacho ni kikubwa kuliko kilichokuwepo kwenye movie!

Tena??? Yaani kubwa kuliko.... Wewe Partner kumbe una kifua eeeeh??
Tell me, umbea waniwasha, hivi nilitaka nikalale naongeza walau five mins...lol
 
Tena??? Yaani kubwa kuliko.... Wewe Partner kumbe una kifua eeeeh??Tell me, umbea waniwasha, hivi nilitaka nikalale naongeza walau five mins...lol
Hahahahha embu kalale partner!!Jumatatu kesho ujue....mwenzio niko likizo kwahiyo usiniige!!Btw umeshawahi kusoma/ona Angelas ashes?!
 
Ume recommend nitajitahidi kufuatilia, but unajua the way vitabu ilivyo kazi kupata specific..
But hata hivyo najisifu am good katika kutafuta... it will take time but nitapata tu!
Thank you for the link na infor ulizonipatia for it has been useful for me nimepata mambo
mengi... Thank you...
Glad I was of help anyway nimepata vitabu vyake online vipo kwenye kama copies 17 hivi they are in pdf so very hard to read so its better ukipata hard copy..., anyway i have uploaded 2 first If tommorrow comes na Windmills of the Gods

View attachment Windmill Of The Gods.pdf
View attachment IfTomorrowComes.pdf
 
Glad I was of help anyway nimepata vitabu vyake online vipo kwenye kama copies 17 hivi they are in pdf so very hard to read so its better ukipata hard copy..., anyway i have uploaded 2 first If tommorrow comes na Windmills of the GodsView attachment 31877View attachment 31878
“This document can not be openned!“Hey check out the V....its awsome!And Chuck sina uhakika kama inazidi kuboreka au la maama last time Morgan ndo aligeuka ‘the intersect‘.
 
"This document can not be openned!"Hey check out the V....its awsome!And Chuck sina uhakika kama inazidi kuboreka au la maama last time Morgan ndo aligeuka ‘the intersect‘.
Really zote mbili hazifunguki.., dont know why lakini maybe will try again later.., I have got copies zake za kutosha tajitahidi uzipate.., Morgan amekuwa intersect what happened to Chuck..., anyway by next week takuwa free nitaangalia anything that can be watched itabidi unipe link ya V sababu zipo V tofauti tofauti na nilishaangalia V (which means Victory inahusu aliens)
 
Ya Chuck ilikua inasumbua mwishoni...ngoja nisikumalizie utamu kwa maelezo zaidi!!V ya visitors bwana nayo inahusu alliens lakini...nadhani kwenye ile link ya free tv ulonipa inapatikana ntajaribu kukuangalizia na sehemu nyingine!!
 
Duh people still watch Chuck? Niliacha kuangalia pale kila mtu alipojua kuwa Chuck ni spy walimaliza kabisa uhondo wa show.
 
KILL THE IRISHMAN (2011)

A true story of Dan Greene, a tough Irish thug working for mobsters in Cleveland during the 1970's.

Cast: RAY STEVENSON, VAL KILMER, VICENT D'ONOFRIO, CHRISTOPHER WALKEN, LINDA CARDELLINI, TONY DARROW, ROBERT DAVI, FIONNULA FLANAGAN, BOB GUNTON,
 
HALL PASS (2011)

A married a man is granted the opportunity to have an affair by his wife. Joined in the fun by his best pal , things get a little out of control when both wives start engaging in extramarital activities as well.

CAST: OWEN WILSON, JASON SUDEIKIS, JENNA FISCHER, CHRISTINA APPLEGATE, NICKY WHELAN, RICHARD JENKINS, STEVEN MERCHANT, LARRY JOE CAMPBELL, BRUCE THOMAS
 
Hahahahha embu kalale partner!!Jumatatu kesho ujue....mwenzio niko likizo kwahiyo usiniige!!Btw umeshawahi kusoma/ona Angelas ashes?!

Partner nakubali sikukuiga...lol..
Ndio nimeona Angela's ashes.. but ni aina ya movie
i can not watch again... too many matatizo kwa mda mrefu
hasa wakichukua na kuonesha in a reality way huniumiza... but neva forget...
sawa na movies kama ESCAPE FROM SORBIBOR (nimesahau spelling ya S...)
Niliangalia na Dad wen 10 years.. but still remember every detail!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom