Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Hyo namba 6-7 ni vyuma haswa
Hii ni baba lao ningekushangaa kama usingeitaja. Nimeshairudia mara kadhaa
Aisee huyu mwamba si charlie Chaplin...🤣🤣🤣huyu jamaa kipengele sana
Yaaani hii ndo best..Hii kazi inakosekanaje hapa..humo ni kazi mwanzo mwishoView attachment 2615811
Ze had wei, mniga analiwa na mamba.
Anodi ya jeni
FRank zagarino maveti mtanikoma
Komando kipensi
![]()
Hatari sanaHii kazi inakosekanaje hapa..humo ni kazi mwanzo mwishoView attachment 2615811
Umeisahau na No retreat, no surrender! Miaka ya 90 ilikuwa ni balaa sana huko vijijini kupitia ule utaratibu wetu wa Video Show!Ze had wei, mniga analiwa na mamba.
Anodi ya jeni
FRank zagarino maveti mtanikoma
Komando kipensi
😂
Sisi tulikuwa tunatamka "no trit no sarenda" matias kisima cha mamba.Umeisahau na No retreat, no surrender! Miaka ya 90 ilikuwa ni balaa sana huko vijijini kupitia ule utaratibu wetu wa Video Show!
Trailler zilikuwa ni nyimbo za wanamuziki wa Zaire (DRC)! Yondo Sister, Pepe Kalle, Bozi boziana, Soukouss Stars, Jenerali Defao, Extra Musica, Allain Koukou, Aurlus Mabele na bendi yake ya Loketo, nk.
Life ilikuwa tamu sana kipindi hicho.