donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
poa ntakutafuta na mimi
kumbe upo
Duh! 5Gb si muvimbili tu mkuu!...au zile zenye qualityya chini 700mb muvi 7tu!mkuu loliondo na mi ni mpenz mkubwa wa muvi,nimekua nikiazima sana library,nakuomba mkuu nipate hata gb 5 ili na mi nianze kukusanya zangu. God bless u
Nitakutafuta.. Ila, nije na externa yenye Gb ngapi ili niweze kuzichukua Movies ulizo nazo?
Za kwangu, andaa 1.3 Tb
1.3TB, dah' hizo movie zipo 1,500 nn maana nina about 360 movie's zina weight ya 320GB!!
:hat:
Nitakutafuta.. Ila, nije na externa yenye Gb ngapi ili niweze kuzichukua Movies ulizo nazo?
Za kwangu, andaa 1.3 Tb
mkuu loliondo na mi ni mpenz mkubwa wa muvi,nimekua nikiazima sana library,nakuomba mkuu nipate hata gb 5 ili na mi nianze kukusanya zangu. God bless u
Duh! 5Gb si muvimbili tu mkuu!...au zile zenye qualityya chini 700mb muvi 7tu!
salama wakuu? Kuna mkuu mmoja alipost thread kuhus kuexchange muviz. Namshukuru kwan ili weza kunikutanisha na jamaa flan natukaweza kuexchange. Mimi nina muvi lyk 428 kwenye my external hardisk,ningependa kuexchange na mutu ambaye yuko willing na ni muvi fanatic kama mimi