Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

Hii ipo kwenye series ya 24 Season 7 kama sijakosea ,Pale ambapo Benjamin Juma anavamia Ikulu ya Marekani kwa kupita chini ya bahari akiwa na schematics zote za white house na kumteka Olivia Taylor kirahisi tu
 
Naona zote zimejaa uongo zinakosa ukweli Na uhalisia. Ni uongo unaoburudisha
 
Kuna movie nacheki hapa ni zaidi ya uwongo yaani hata mtoto mdogo humdanganyi hivi.
Tujuzane movie zenye uwongo ulioptiliza kama si kutukuka.
1.Mission Impossible 4 na 5
2.Spectre ya James Bond

karibu uendelee na wewe...
expendable kama sikosei, wamecheza mastaa hv, hum ndan kuna uongo mpaka hata wao wanajistukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…