Nikiendelea si utakosa hamu ya kwenda kucheki nitakuwa nimeimaliza movie nzimaAsa mbona umekatisha uhondo?
Affinity ni ya 2025Movie inaitwaje?
Ya mwaka gani?
Nenda kwenye website ya nkiri.inkNipe link nikaipakuww
PowaaNenda kwenye website ya nkiri.ink
Details muhimu si nishakupa Sasa unataka utafuniwe kila kitu mkuuHata picha hakuna,kuna watu ni wavivu duniani hadi sio poa
Haya bhana, sie wengine hatuwezi tizama movieNikiendelea si utakosa hamu ya kwenda kucheki nitakuwa nimeimaliza movie nzima
Basi nitakusimuulia movie nyingine fullHaya bhana, sie wengine hatuwezi tizama movie
Details muhimu si nishakupa Sasa unataka utafuniwe kila kitu mkuu
Ningemueleza kila kitu kuna Hana gani tena kuicheki movie nimempa story ambayo Kama tupo interesting nayo it means ataenda kuchekiTutafunie mbona wewe huwa unapenda kuelezewa kila kitu