Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Chekin mlete mrejesh hapBasi Sawa ngoja tuone
Kama uliiona mwaka Jana, maana yake uliona part one na hii ni part twoMbn kama mim niliiona mwaka jana
Yani I'm sure niliiona zote mbili.Kama uliiona mwaka Jana, maana yake uliona part one na hii ni part two
Inabidi ufanye uitafute hii uione, maana ata ueleze vipi hakuna mtu atakuelewa, hii movie ni mpya na imetoka mwezi huu wa saba sasa we ukisema ushaiona mwaka Jana haimake senseYani I'm sure niliiona zote mbili.
Maana Kuna moja inaisha madude yanawavamia halafu jamaa mke alikuwa Na Mimba akajifungua...madudu yalikuwa hayapend redio na nyingine walianza kuuana binadamu wao Kwa wao Na iliisha vizuri...ila zote niliziona last year...au ndo deja vu,Mandela effect
Au basictuseme zilitoa movie mbili Zenye maudhui yaleyale.Inabidi ufanye uitafute hii uione, maana ata ueleze vipi hakuna mtu atakuelewa, hii movie ni mpya na imetoka mwezi huu wa saba sasa we ukisema ushaiona mwaka Jana haimake sense
Umeitazama lakini? Au Una unasema Tu walahiAu basictuseme zilitoa movie mbili Zenye maudhui yaleyale.
Maana hii movie wallahi nilishaziona mbili.
Aah sorry niliichanganya Na ile The silence...Ni maudhui yaleyale kama movie moja.Umeitazama lakini? Au Una unasema Tu walahi
Daah utopolo wa dizaini hii ulishanishinda kabisa mkuu.Aah sorry niliichanganya Na ile The silence...Ni maudhui yaleyale kama movie moja.
Sema the silence Kali zaidi
View attachment 1855821
View attachment 1855822
yani wewe kwenye movie bado SANAAah sorry niliichanganya Na ile The silence...Ni maudhui yaleyale kama movie moja.
Sema the silence Kali zaidi
View attachment 1855821
View attachment 1855822
Twende technical achana Na hype Za media.yani wewe kwenye movie bado SANA
Silence ni kali kuliko A QUIET PLACE
AMBULLANCE YA VICHAA PLEASE
Ngoja nikazitazame nije kuamua ugomviTwende technical achana Na hype Za media.
A quiet place umemzidi Nini the silence?