MASIKINI MTATA
Member
- Oct 10, 2010
- 9
- 0
mmmh!!! unaweza ukaikataa siasa, yaani ufananishwe na kondom?:nono:
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Idd
Anayejua wasifu wa huyu Balozi atumwagie hapa wakuu.
Shamsi anakuja kwenye serikali ya muungano
anaandaliwa kumrithi Jk
ana ubavu gani wa kupambana na dkt slaa?
safari ya cuf kuelekea kufariki kisiasa ndio imeanza?
Shamsi anakuja kwenye serikali ya muungano
anaandaliwa kumrithi Jk
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Idd