Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
next time mtataka EAC iwapigie kura as a block ......the problem with EAC ni lack of unityHakika nimefurahi sana huyu mama kukosa. Ilinishangaza sana kuona Rais Uhuru Kenyatta anahangaika huku na huko kumpigia debe huyu mama kana kwamba kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia. Yaonekana alitaka kukitumia vibaya cheo cha AU kupitia mama huyu. Na wakenya walivyo wabnafsi mbona tungekoma. Sasa tutalala usingizi maana wangelipiga kelele hao.
next time mtataka EAC iwapigie kura as a block ......the problem with EAC ni lack of unity
Of course, we have to celebrateNyinyi hucomplain kwa kila kitu. 😡
Amina lost, Kenya lost its bid ti chair AU. If she had won mngekuwa hapa mnacelebrate