Mourinho sikupenda kukopi post yako lakini ulichokiandika sina cha kuedit, yule dogo ----- sana sijui Gang Chomba anamtetea hili iweje labda anataka ampeleke Abajalo akacheze ndondo.
Kabla yake alikua Raul, yeye ndio alikua na sauti kwenye dressing room kuliko mtu yoyote, kila kocha alikua anaenda pale hakai, nakumbuka kipindi hicho mpaka Big Phil akasema the problem of real madrid ni Raul.
Na kuvuja kwa mambo ya ndani ya dressing room ya Madrid yanatokana na huyu msengerema, kukiwa na kupishana maneno kidogo anaenda kumwambia demu wake au yule journalist shost wake, ambaye juzi hapo Mourinho alimchengia kwenye press conference.
Whether Mourinho ataondoka, huyu mpuuzi naye inabidi auzwe, ni cancer hiyo. Me kuna wachezaji nawakubali sana the way wanabehave, kina Zidane, Giggs, Scholes, Gigi, Makelele, Maldini, Seedorf, Pirlo, ni wachezaji wakubwa wanajua mpira na most of the time viwango vyao katika game ndio huwa vinaamua matokeo ya match, lakin hutawasikia kwenye vyombo vya habari wanauza sura au wanaongea mambo ya ndani ya kwenye dressing room.
Sasa itakua huyu mbwiga tu ambaye kazi yake ni kusimama uwanjani for the most of the game? Alipata umaarufu kipindi kile Madrid ina kina Zizou, Figo, Ronaldo, Carlos, Solari, Makelele, mpira ulikua unaishia kwa Makelele kama team inashambuliwa, yeye alikua na kazi ndogo sana, sasa hivi team haina kiwango kama cha kipindi hicho ndio unauona ubovu wake.
Puta Iker.