Mourinho ''The Mic one'' Paris hapatoshi

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Baada ya kichapo cha mbwa Chelsea walichopokea kutoka kwa PSG,kocha wao mwenye mbwembwe nyingi na anayejua kuongea kejeli sana amekuwa akijificha kukwepa vyombo vya habari.



 

Attachments

  • mourinho in Paris.jpg
    17.2 KB · Views: 672
Wewe subiri hao PSG wakiingia London hawaponi, watajuta kumjua Mourihno.

Tiba
 
Wewe subiri hao PSG wakiingia London hawaponi, watajuta kumjua Mourihno.

Tiba


MAGOLI YOTE YA KUPEWA:

jumanne ndo mwisho wa safari ya PSG. CHELSEA FC inahitaji 2-0 kusonga mbele;

Chelsea itasonga mbele..:nod:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…