VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kocha wa Real Madrid,Jose Mourinho amekaririwa akisema kuwa wachezaji Luca Modric na Pepe wataleta mchango mkubwa kwenye El-Classico leo na kupeleka ushindi Bernabeu. Majira ya saa tano usiku wa leo,Madrid watawavaa Barcelona kwenye mchezo wa pili wa Supercup. Katika mchezo wa kwanza, Madrid walikandikwa 3-2. Yetu macho na masikio...