Mourinho: Modric na Pepe watanibeba...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kocha wa Real Madrid,Jose Mourinho amekaririwa akisema kuwa wachezaji Luca Modric na Pepe wataleta mchango mkubwa kwenye El-Classico leo na kupeleka ushindi Bernabeu. Majira ya saa tano usiku wa leo,Madrid watawavaa Barcelona kwenye mchezo wa pili wa Supercup. Katika mchezo wa kwanza, Madrid walikandikwa 3-2. Yetu macho na masikio...
 
huyo pepe! atambeba kwa kupewa kadi nyekundu, na huyo modric atagusa mpira mara moja tu mpaka anatoka nje.
 
shapigwa home and away mara ngapi na Barca? mimi si mshabiki wa barca! lkn nilionamwaka jana jamaa walituzidi
 
Kutesa kwa zamu,hawa barca tulikua tunawachapa mara kibao tu toka enzi za kina Zamorano mpaka Raul na kama mliivyoona muda wao unaelekea ukingoni!
 
Real Madrid are for REAL. Sergio Ramos, Marcelo, Pepe, Ike, Aberloa, Arbiol, Xabi, CR, Haiguan, de Maria, Benzema, Centrao, Modric, OZIL, Kheidira; WEEE ACHA TU!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom