Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Matola,Kila siku mpo kwenye internet lakini mnakuwa too shallow namna hii? Why?
Customer care wa vodaphone UK wapo India
Isitoshe Ulaya kuna mawakala wa kuleta watalii Africa, wale ndio wanakubaliana nà makampuni ya huku Africa.
Kama mtalii anapapigiwa hesabu yake yote na akalipa shida iko wapi akitoka Botwana? Nyinyi si mmekalia siasa?
Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani yenye yale maroli makubwa ya kubeba watalii?
Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani iliyoingiza mabasi ya ghorofa ya wazi kama London bus kwa ajili ya City tour na trip kama za Bagamoyo?
Tumekaria porojo tu
Kazi hii ya uwakala si ingeweza kabisa kufanywa vizuri na watanzania wenzetu walioko huko duniani ...?!
Hakika kweli , kama diaspora wangechangamkia fursa ya kutangaza kwao ingetuongezea kipato sana .. I'm just thinking aloud ..
Hata serikali pia inaweza kuwawezesha diaspora kufanya kazi hii ya kutangaza utalii wa nchi yetu ...[emoji41]