Mount Kilimanjaro in Botswana

Mount Kilimanjaro in Botswana

Hivi kuna sheria inazuia hayo majina kutumika? Mimi najua very expensive sun glasses brand Serengeti.

Huwezi kuzuia watu kutumia hayo majina.
Kuzuwia ni njia Rahisi weka TOZO kubwa la kupanda Mt kmnjaro basi watakuwa hawana choice maan hakuna Mt kilmnjaro nyingine Afrika .
 
mambo mengine ya kitoto tu,ina maana mtalii ataenda Botswana kuangalia mlima kilimanjaro??......au atakuja Tanzania
Umeambiwa agent wa tourism kule Botswana anawezeza akamsubcontract agent was tourism wa Tanzania na hivyo mapato makubwa yakaingia kwenye serikali ya Botswana tena ukasisitiziwa kua "learn to learn".
 
Kuzuwia ni njia Rahisi weka TOZO kubwa la kupanda Mt kmnjaro basi watakuwa hawana choice maan hakuna Mt kilmnjaro nyingine Afrika .
Nimeuliza kutumia jina Kilimanjaro mfano ndege ya Ethiopian airlines inayoitwa Kilimanjaro.
 
Tena Tanzania inge chukuru kwa hilo maan Wanawatangazia BIASHARA pasipo malipo .othewiz walitakiwa TZ wawalipe Ethiopian airways gharama za matangazo .

Kila tourist anaye kuja kupanda Mt kilmnjaro anajua upo TZ .
Ethiopian airways imevolunteer kuutangaz Mt kilmnjaro ni sababu moja tu passenger maan wao wanakwenda karib dunia nzima .
 
Kuna mdau wa utalii juu hapo kasema eti mtalii ataenda ku-book kuona mt kilimanjaro botswana! Hivi watalii ni wajinga hivi? Nilikuwa sijui.

Nilichokuwa najua watalii huwa wana research kila kitu/mahali wanapotaka kutembelea. Sio kaona some silly documentary about mt kili botswana akurupuke kwenda botswana. Anyway sijui biashara ya utalii ndio maana nasema haya.
 
Lkn ukwel ni kwamba Nchi nying zinaweza kutake advantage kama nchi usika na jambo fulani watakuwa wamelala kama kwa hili Mfano Tanzania.

Mfano
1)watalii wengi wanakwenda Kenya lkn asilimia kubwa ya utalii wao wanakuja Tanzania sabab wapo vizur kweny tourist industry.

2)Tanzanite inazalishwa Tanzania lkn faida kubwa wanapata South Africa ndio wanayo ifanyia process zote na kenya kama middle men wanapata faida kuliko TZ

3)kilimo cha korosha na ufata na mazao mengi ya biashara wanapata faida ni watu wengine kutoka nchi nyingine .
Ukwel yapo mambo mengi sn ni majarib kukula mifano midogo tu .
 
Wamarekani mkuu hawajui cho chote kuhusu ulimwengu wa nje. Wao ni humo humo tu ndani na McDonalds zao basi. Ndiyo maana walijidanganya eti watapokelewa Baghdad kama wakombozi...Hata uwaambie Serengeti ipo Madagascar wao wanakubali tu. Botswana watapiga hela vibaya sana....
 
Tunaogopa bure tu wengine kutumia maliasili zetu kujitangaza. Linchi lenyewe ni reject natuliomo ni maamuma waliokubuhu mfano dodoma walivyowaua na kuwachoma wale watafiti bila huruma na Hawana kosa na niwatanzania wenzao.

Acha watumie tu vivutio vyetu kuji tangaza kwani hamna namna.
 
Kuna mdau wa utalii juu hapo kasema eti mtalii ataenda ku-book kuona mt kilimanjaro botswana! Hivi watalii ni wajinga hivi? Nilikuwa sijui.

Nilichokuwa najua watalii huwa wana research kila kitu/mahali wanapotaka kutembelea. Sio kaona some silly documentary about mt kili botswana akurupuke kwenda botswana. Anyway sijui biashara ya utalii ndio maana nasema haya.
Hukumuelewa vizuri. alimaanisha kuwa kuna baadhi ya watalii wanaweza kuwatumia maagent wa botswana kuwawezesha kufika Tz kama vile wanavyowatumia wakenya ili kufika tz. Ni kama vile North Korea na Iran zilivyo mtumia Agent alieko Dubai Kuregister meli zao na kutumia bendera ya Tz. Mie ndivyo nilivyomuelewa hivyo
 
Wamarekani mkuu hawajui cho chote kuhusu ulimwengu wa nje. Wao ni humo humo tu ndani na McDonalds zao basi. Ndiyo maana walijidanganya eti watapokelewa Baghdad kama wakombozi...Hata uwaambie Serengeti ipo Madagascar wao wanakubali tu. Botswana watapiga hela vibaya sana....
Nakuunga Mkono 100% wale jamaa ni mambumbumbu ila watu hawajui tu
 
elephant.png
atafuatilia
 
Botswana umeenda mbali sana mkuu hapa jirani tu wakenya wanautumia ipasavyo huu mlima pamoja na Serengeti. Serikali yetu kimya hawajawahi hata kusema neno.
Wanahakiki wakimaliza watahamia huko mimi nadhani aliyetuloga bado yupo hai tumtafute tu kwa kweli
 
Nakuunga Mkono 100% wale jamaa ni mambumbumbu ila watu hawajui tu
Mkuu hongereni kwa kujua USA ni mambumbumbu huku wao wakichota dhahabu bure kabisa kwa ninyi wenye akili..maji yapo tuu baharini meli zishushe mizigo ya transit ipite kwa gharama kidogo maisha yaende ninyi wenye akili mnaweka gharama kubwa mpaka wanakimbia maji yapo tuu yale...wenye akili mnatumia vipasso wajinga USA wanatumia Ford Ranger..Dics series na mengineyo endeleeni kudanganyana kujua mambo mengi ambayo hayakusaidii ni ujanja..
 
Bado nauliza mtalii anaetaka kupanda Kilimanjaro atafanya booking kwa travel agent wa Botswana? Anyway sijui hio biashara na sikujua kama touarists are that dumb.
Kila siku mpo kwenye internet lakini mnakuwa too shallow namna hii? Why?

Customer care wa vodaphone UK wapo India

Isitoshe Ulaya kuna mawakala wa kuleta watalii Africa, wale ndio wanakubaliana nà makampuni ya huku Africa.

Kama mtalii anapapigiwa hesabu yake yote na akalipa shida iko wapi akitoka Botwana? Nyinyi si mmekalia siasa?

Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani yenye yale maroli makubwa ya kubeba watalii?

Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani iliyoingiza mabasi ya ghorofa ya wazi kama London bus kwa ajili ya City tour na trip kama za Bagamoyo?

Tumekaria porojo tu
 
Tatizo lako wewe unapenda kukurupuka. Maswali yote hapo ninayouliza nayajua majibu yake. Nineishi kwa hao watalii miaka mingi najua taratibu zao zote wakitaka kwenda holiday. Packages zipo zimeandaliwa hukp huko wanamaliza kila kitu.

Sasa mtu akisema mtalii mmmarekani hajui dunia atafanya booking botswana to climb mt kili namshangaa! Watalii wa ulaya/usa wanamaliza kila kitu kwao. By the way ushapanda hizo open top london buses au unaishia kuziona google tu?! Dont underestimate people u dont know.
 
Mkuu hongereni kwa kujua USA ni mambumbumbu huku wao wakichota dhahabu bure kabisa kwa ninyi wenye akili..maji yapo tuu baharini meli zishushe mizigo ya transit ipite kwa gharama kidogo maisha yaende ninyi wenye akili mnaweka gharama kubwa mpaka wanakimbia maji yapo tuu yale...wenye akili mnatumia vipasso wajinga USA wanatumia Ford Ranger..Dics series na mengineyo endeleeni kudanganyana kujua mambo mengi ambayo hayakusaidii ni ujanja..
Wabongo utawaweza ndugu yangu.
 
Tatizo lako wewe unapenda kukurupuka. Maswali yote hapo ninayouliza nayajua majibu yake. Nineishi kwa hao watalii miaka mingi najua taratibu zao zote wakitaka kwenda holiday. Packages zipo zimeandaliwa hukp huko wanamaliza kila kitu.

Sasa mtu akisema mtalii mmmarekani hajui dunia atafanya booking botswana to climb mt kili namshangaa! Watalii wa ulaya/usa wanamaliza kila kitu kwao. By the way ushapanda hizo open top london buses au unaishia kuziona google tu?! Dont underestimate people u dont know.
London bus ni jina maarufu tu lakini mabasi hayo nchi karibu zote za ulaya yanatumika kwenye shughuli za kitali kwa Africa hata South Afrika wanazo.

Swala la kupanda au kutokupanda ni maswali ya kitoto, Tanzania hata Buffalo Buses Dar Arusha walikuwa nalo basi moja la ghorofa.

Siko hapa kujinadi nimetembea nchi ngapi ila elewa tu nina exposure ya kutosha na nina valid multiple Sheghen Viza.
 
Basi usipende kukurupuka.
 
Habari za Jioni wanajF,

Muda sio mrefu nimweka series inaitwa "ZOO". Yani nilichokiona ilibidi nishangae . Series inaanza kwa kuandikwa BOTSWANA tena kwa maandishi ya herufi kubwa na baada ya dk kama tatu nne hivi inaonsha watalii wapo katika gari yenye plate number za botswana wakitembezwa Katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro,haikuishia hapo cz kuna mtu alitumia neno "Rafiki" katika scene hiyo ya Mt Kilimanjaro.

Kiukweli imeniuma sana cz najua hizi muvi ni moja ya matangazo ya kuitangaza maliasili zetu.

Ifike wakati sasa tuchukue hatua kuzuia mambo kama haya yasizidi kuendelea.
siamini kuwa haya ni makosa madogo ya directors wa Movie ila naona hii ni kusudi na ni mbinu mojawapo ya kuitangaza Botswana kupitia mgongo wa Tanzania. Kwasababu Kabla ya muvi kutoka huwa inafanyiwa uhakiki kisha ndio inaachiwa.Yani hata mazingira ya muvi yenyewe yamekaa kitanzania zaidi na sio kibotswana cz Kuna camp inaitwa MSISIMKO Safari camp pamoja na KITUKO camp.

Haya ngoja niendelee kutazama huwenda nikagundua mengi zaidi.
Nawasilisha
Bado inakula kwao tu,hata watalii wakienda kwao na wakataka wauone mlima Kilimanjaro watajikuta wanawaleta Tanzania na wataishia aibu.mtu m1 kule South Africa aliwahi kustaajabu akiniuliza hv Kilimanjaro iko Tanzania?nikamuuliza na umri wote huu ulikua hujui?akanijibu serious kabisa kua anachojua yeye mlima huu upo Kenya.ndipo nilipomuelewesha akaelewa,kitu kingine alionekana kutamani kufika Zanzibar,nikampa mwaliko wa kirafiki japo bado hajaja lakini yupo mbioni,msitishwe na watu wanaoiba vya kwetu kwa kudanganya,mwisho wa siku hua wanaaibika tu
 
Wamarekani mkuu hawajui cho chote kuhusu ulimwengu wa nje. Wao ni humo humo tu ndani na McDonalds zao basi. Ndiyo maana walijidanganya eti watapokelewa Baghdad kama wakombozi...Hata uwaambie Serengeti ipo Madagascar wao wanakubali tu. Botswana watapiga hela vibaya sana....
Ni kweli mkuu...., huwezi kuamini hawa jamaa ni hovyo kabisa ktk kuifahamu Afrika ... Labda wana siasa wao ndio wanaifahamu afrika kidogo, na wanafamu sehemu chache za afrika zile zenye migogoro na vita au zenye maslahi kwao ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom