Mwenge una faida nyingi sana....Kwanza unaimarisha umoja wa taifa kwani wanaoshiriki ni watu wote bila ubaguzi...lakini kubwa jingine ni kwamba unahamasisha maendeleo...wewe fikiria tu ni projects ngapi zinazozinduliwa wakati wa mwenge nchi nzima....Watu wanaopiga kelele kuhusu mwenge hawajielewi...mwenge wa uhuru unahamasisha watu kujiendeleza katika suala la maendeleo kiuchumi, kielimu, afya na kadhalika...The torch is a unifying 'symbol'....vijana wengi hawaelewi kabisa kwza kuwa wanadanganywa na wanasiasa....