Mount Kilimanjaro in Botswana

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Habari za Jioni wanajF,

Muda sio mrefu nimweka series inaitwa "ZOO". Yani nilichokiona ilibidi nishangae . Series inaanza kwa kuandikwa BOTSWANA tena kwa maandishi ya herufi kubwa na baada ya dk kama tatu nne hivi inaonsha watalii wapo katika gari yenye plate number za botswana wakitembezwa Katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro,haikuishia hapo cz kuna mtu alitumia neno "Rafiki" katika scene hiyo ya Mt Kilimanjaro.

Kiukweli imeniuma sana cz najua hizi muvi ni moja ya matangazo ya kuitangaza maliasili zetu.

Ifike wakati sasa tuchukue hatua kuzuia mambo kama haya yasizidi kuendelea.
siamini kuwa haya ni makosa madogo ya directors wa Movie ila naona hii ni kusudi na ni mbinu mojawapo ya kuitangaza Botswana kupitia mgongo wa Tanzania. Kwasababu Kabla ya muvi kutoka huwa inafanyiwa uhakiki kisha ndio inaachiwa.Yani hata mazingira ya muvi yenyewe yamekaa kitanzania zaidi na sio kibotswana cz Kuna camp inaitwa MSISIMKO Safari camp pamoja na KITUKO camp.

Haya ngoja niendelee kutazama huwenda nikagundua mengi zaidi.
Nawasilisha
 
reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!
 
aaahh kumbe ndiyo maana wakasema asilimia ya vichaa iko vile!!
 
reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!

Lawama ziende kwa Mawaziri ambao ni mzigo..

Tungefanya tourism promotion ya kutosha, watalii wangepata correct information na wangekuja direct Tanzania. Nchi ingepata mapato na ajira kuongezeka

Sasa mzungu amekosa information kwa sababu ya uvivu wetu.....tunataka misheni town...

Sasa mzungu ameshapotea ameenda Botswana kupandishwa kichuguu...pesa tumekosa na Botswana wamepata pesa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hivi kuna mtu kweli ataenda Botswana kupanda mlima Kilimanjaro?! Wazungu au watalii kwa ujumla sio wakurupukaji eti aone funny tv series ya mt kili akurupuke aende Botswana.
 
Hivi kuna mtu kweli ataenda Botswana kupanda mlima Kilimanjaro?! Wazungu au watalii kwa ujumla sio wakurupukaji eti aone funny tv series ya mt kili akurupuke aende Botswana.

Sio lazima aende Botswana.. Au sio Lazima aende Kenya.....

Kama unaijua biashara ya tourism, usingesema hivyo

Tourist anaweza kubook Trip ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa Travel Agent wa Botswana au wa Kenya.....Huyo Travel Agent wa Kenya au Botswana ana msubcontract Tour Operator wa Tanzania kwa faida kiduchu

So, Travel Agent wa Botswana au wa Kenya anakuwa ametengeneza Commission (profit) na nchi yake inakuwa imepata faida.....

Learn to Learn
 
Mbona hata Ethiopian Air siku hizi wana ndege yao inaitwa Mt. Kilimanjaro. Mbona sikuwasikia watu kusema kama mda ule wa Kenya Airways?
 
Sio lazima aende Botswana.. Au sio Lazima aende Kenya.....

Kama unaijua biashara ya tourism, usingesema hivyo

Tourist anaweza kubook Trip ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa Travel Agent wa Botswana au wa Kenya.....Huyo Travel Agent wa Kenya au Botswana ana msubcontract Tour Operator wa Tanzania kwa faida kiduchu

So, Travel Agent wa Botswana au wa Kenya anakuwa ametengeneza Commission (profit) na nchi yake inakuwa imepata faida.....

Learn to Learn
Bado nauliza mtalii anaetaka kupanda Kilimanjaro atafanya booking kwa travel agent wa Botswana? Anyway sijui hio biashara na sikujua kama touarists are that dumb.
 
mambo mengine ya kitoto tu,ina maana mtalii ataenda Botswana kuangalia mlima kilimanjaro??......au atakuja Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom