PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Peleka mwanao shule, asije kuwa na akili kama hizi
 
Nyinyi mnazo Shule na hospital nchi nzima? Maana najua mna Chuo kikuu kimoja tu Morogoro....Wakivunja hiyo MOU wagonjwa na wanafunzi wote nchi nzima mtaenda kuwafundishia na kuwatibia hapo Morogoro?
Hicho chuo chenyewe cha moro sio chao, ni mali ya wakatoliki. hawa waislamu walikuaga na majengo yao pale iringa mjini ambapo leo hii pana chuo cha wakatoliki (RUCO). Sasa wakatoliki waliyahitaji hayo majengo yaliyopo hapo iringa kwa hyo wakawajengea waislam hcho chuo cha moro as an exchange.
 
Hapo Moro kulikuwa eneo la TANESCO.
 
Peleka mwanao shule, asije kuwa na akili kama hizi
Kiufupi Serekali inasaidiwa na Makanisa kutoa huduma ya afya. Wanachofanya ni kusaidia ili huduma iwe na nafuu na kwa watu wote.

Na wanaomba kila siku MOU iendelee ili wananchi wote wapate huduma bila upendeleo.

Mwenye akili timamu atashukuru kanisa kwa kukubali MOU ili huduma ziwe kwa wote
 
Hindu mandal siyo ya waislam!
Sio lazima iwe ya waislam
 
Inaonekana huelewi hiyo MoU, ngoja nikuelekeze kidogo, inahusu makanisa yote na taasisi zote za kidini sio wakatoliki peke yao, kwa hiyo hata waislam wamo wako covered humo, vitu anavyoweza kufanya mkatoliki ndani ya hiyo MoU na waislam nao wanaweza 100% bila kubaguliwa, hope umenielewa au nikuchambulie nini kiko covered na hiyo MoU?
 

..wanaotakiwa kujibu hivyo ni serikali lakini imekaa kimya.

..waandishi wa habari wamuulize msemaji wa serikali siku watakayopata wasaa wa kuongea naye.
 

..wanaotakiwa kujibu hivyo ni serikali lakini imekaa kimya.

..waandishi wa habari wamuulize msemaji wa serikali siku watakayopata wasaa wa kuongea naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…