jamani wana Jf nina motorola droid pro XT610 nililetewa toka usa sasa ina lock zao nimepeleka kariakoo kwa mafundi imeshindikana mwenye utaalamu anisaidie nifanyeje model yake ni 353635040948354
jamani wana Jf nina motorola droid pro XT610 nililetewa toka usa sasa ina lock zao nimepeleka kariakoo kwa mafundi imeshindikana mwenye utaalamu anisaidie nifanyeje model yake ni 353635040948354
ebana kaka mkubwa simu zinazokua zimefungwa na hao Verizon huwa ni kesi kuzifungua or kuflash mpaka uwachek wenyewe wakupe Unlock zao' na hapo lazima $ zitahusika. Pole mkubwa!
DAVIES:, Pole sana hiyo sio model no but ni IME no. Ipeleke kwa mtaalam mmoja Anaitwa Mwesiga yupo opposite jengo la IPS kwa juu ghorofan. huyo ataiweka safi na akishindwa nijuze
Mi mwenyewe nina yangu hapa nimesha zunguka k/koo nzima na posta yoote lkn wapi!! bila bila. mi nimeiweka kapuni nikijipanga kuirudisha ikafunguliwe huko huko ........ukifanikiwa unishtue.