motorcycle for sale in Arusha

motorcycle for sale in Arusha

Shokolokobangoshey

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
311
Reaction score
82
Habari zenu wana JF mimi nauza pikipiki yangu reg C aina ya T-BETTER iko kwenye hali nzuri sana na inafaa kwa bodaboda! Bei ni 1.4m na maongezi yapo pia. Kwa maongezi zaidi niinbox.
 
ina miezi mingapi tangu uinunue tupia na picha.
 
Picha ni janga la taifa kwenye hii kona ya matangazo madogo madogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom