AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,137
- 22,482
Idumu muungano Ila msiziuze Bandari kwa waarabuIdumu muungano wa Tanzania
Idumu muungano Ila msiziuze Bandari kwa waarabuIdumu muungano wa Tanzania
Bandari ni uwekezaji, acha kujitoa fahamuIdumu muungano Ila msiziuze Bandari kwa waarabu
Uwekezaji wa milele ulisikia wapi ? Kwanini hamkuwapa kisiwa Cha unguja wafanye uwekezaji wa milele na wakawatengenezea na Bandari yenu huko huko ?Bandari ni uwekezaji, acha kujitoa fahamu
hakuna kitu kama milele, nenda ofisi ya karibu ya UVCCM wakueleweshe vizuriUwekezaji wa milele ulisikia wapi ? Kwanini hamkuwapa kisiwa Cha unguja wafanye uwekezaji wa milele na wakawatengenezea na Bandari yenu huko huko ?
404: Page Not Found
Mkataba ninao huu hapahakuna kitu kama milele, nenda ofisi ya karibu ya UVCCM wakueleweshe vizuri
Ni feki hii...usipotoshweMkataba ninao huu hapa
Leta hio ambayo sio fake hapa domobwaku Leta hapa mbon Mimi nimekupa sema huu fake huu ndio wenyewe onyesha hapaNi feki hii...usipotoshwe
Wamwambie Bibi yao aachane na bandari ya DarHawa wazungu wenye Hotel,ndio wamechukuwa bandari yako?
Sasa watu wa Zanzibar hawajui kazi.Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeunguza Hoteli nne na nyumba moja ya makazi huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja Zanzibar.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa huo, Gaudianus Kamugisha jeshi la polisi linafanyia uchunguzi chanzo cha moto huo naye Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 usiku wa kumkia leo Julai 9, 2023.
Bandari tunayo au Nije nikuchukue uione[emoji23]Uwekezaji wa milele ulisikia wapi ? Kwanini hamkuwapa kisiwa Cha unguja wafanye uwekezaji wa milele na wakawatengenezea na Bandari yenu huko huko ?
404: Page Not Found
Njoo tuujenge muunganoBandari tunayo au Nije nikuchukue uione[emoji23]
Mm nishajenga muungano labda tuuzidishe tuNjoo tuujenge muungano
Ndio hivyo hivyo tuuzidishe tuone hizo Bandari zipo wapi Paje au Nungwi au MichungwaniMm nishajenga muungano labda tuuzidishe tu
Penye miti hakuna Wajenzi ndiyo maana Mama anatafuta Wajenzi kutoka Jangwani!!Wajomba zetu waarabu watajenga. Huoni wamekuja kutufundisha mpaka namna ya kutunza misitu japo kwao ni jangwani?