Moto wateketeza hoteli 4 Unguja

Moto wateketeza hoteli 4 Unguja

Na nyengine iyo
Screenshot_20230709-152645.jpg
Screenshot_20230709-152643.jpg
 
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeunguza Hoteli nne na nyumba moja ya makazi huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja Zanzibar.

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa huo, Gaudianus Kamugisha jeshi la polisi linafanyia uchunguzi chanzo cha moto huo naye Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 usiku wa kumkia leo Julai 9, 2023.
Wataanza kusema Allan amekasirika 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom