Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Leo limekuwa gazeti Lao???
Labda Aga Khan kahamia CHADEMA
Leo limekuwa gazeti Lao???
ExactlyAjabu ni kuwa hao CDM wametulia tuliii. CCM wanamangamanga na vijimaneno vya khanga mitaani.
We jamaa ni mnafiki sana tena wa kutupwa na kuogopwa kama ni kijana nasikitika umeanza uchawi ungali mdogo mno ulimshambulia sana Chachali kuhusu makonda badala ya taarifa yenyewe ona bandiko lako hapa hukosi uchawi wewe kwa nini hukushambulia taarifa vita ukageuzia kwa mtoa taarifa?Don't shoot the messenger, shoot the news editor!
Kwa kukusaidia zaidi, hilo gazeti wahariri wake ni manazi wa CHADEMA. Inawezekana kuna zengwe anafanyiwa Mbowe baada ya repoti ya CAG kuelezea ufujaji wa mabilioni ya chama.
Duh! Rostam ameanza lini kumiliki gazeti la Mwananchi? Unachanganya kati ya Mwananchi Communication na Habari Corporation? Wakati mwingine kama hujui ni bora kukaa kimya?...Mwananchi magazeti ya Rostam ambaye ni team lowassa ambaye ni kamanda wa chadema.
Una swali lingine??
Hivi vyama banaaa. Mbowe, Lipumba, Lyatonga Mrema, Cheyo, Dovutwa etc etc ni akina Mugabe wa Upinzani. It is either them or no one else. Mentality za ajabu sana. Harafu sio sawa kujificha kwenye kichaka cha "kufuata katiba" na kudai eti katiba inaniruhusu kugombea bila ukomo na blah blah nyingine. You can't lead the Party for more than 15 years kama huna maslahi binafsi humo ndani...mmoja kati ya Wabunge hao akitaka jina lake lihifadhiwe na kusema siku za Mwenyekiti Mbowe kubaki Chadema toka sasa zinahesabika...
Alikuwa kiongozi mzuri,ila kwa kumleta Lowasa chadema kama vipi ajiuzulu tu,udhaifu wa chadema umeletwa na lowasa kugombea uraisSasa unadhani kuna makamanda wanamtaka Mbowe??
Hayimaye muda umefika, mbowe aachie kiti.
Ule sio ufujaji ni kukosekana kwa risiti tu ambazo zikipatikana na wakaeleza wapi pesa hoja inafungwa.Don't shoot the messenger, shoot the news editor!
Kwa kukusaidia zaidi, hilo gazeti wahariri wake ni manazi wa CHADEMA. Inawezekana kuna zengwe anafanyiwa Mbowe baada ya repoti ya CAG kuelezea ufujaji wa mabilioni ya chama.
Atakiacha kwa kura sandukuni na sio kwa maneno yenu mliotumwa! Hangaikeni na malaika wenu mkuu kabla ya kuingilia upande usiowahusu! By the way, Mbowe anawabana nini hadi ninyi lumumbas mhangaike kihivyo?Sasa unadhani kuna makamanda wanamtaka Mbowe??
Hayimaye muda umefika, mbowe aachie kiti.