Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

Freedom of expression! Wangeandikwa wale jamaa wengine, ungemwona Shonza au Mwakyembe na kufuri kuubwa akielekea pale tabata relini (Mwananchi)
 
Don't shoot the messenger, shoot the news editor!

Kwa kukusaidia zaidi, hilo gazeti wahariri wake ni manazi wa CHADEMA. Inawezekana kuna zengwe anafanyiwa Mbowe baada ya repoti ya CAG kuelezea ufujaji wa mabilioni ya chama.
hapo ndio umeshaharibu post yako kwa ushabiki maandazi. Unazi huo unao uashahidi wake? Fukuto la uchaguzi ndiyo demokrasia na wanachama wa Chadema ndio watakao amua.
Msichokijua CCM ni kuwa kuonyesha kwenu woga juu ya Mbowe na kutomtaka ndiko kunakofanya Chadema waendelee kumuhitaji awepo. Mlimpigia debe sana Zitto wakati ule na kuwatetea sana waratibu wake Kitila, Mwigamba na Msando sasa nini kilitokea? wote hao waliokuwa wanataka Zitto awe mwenyekiti kwa sifa walizo mpa leo wamemkimbia na wako CCM?
Hapo mwana Chadema gani anaweza kudanganywa kuwa kulikuwa na nia njema?
Vuguvugu hilo la kupata mwenyekiti ni ishara toshakuwa ipo demokrasia tofauti na wale wanaokusanywa Dodoma kuja kuidhinisha jina la mtu aliyekwisha wekwa tayari. Tena kura za Hapana zinabadilishwa kuwa Ndiyo. Eti iwe 100%
 
Mwananchi magazeti ya Rostam ambaye ni team lowassa ambaye ni kamanda wa chadema.
Una swali lingine??
Wajifanya wajua kumbe waungua na jua, Mwananchi tangu lini likamilikiwa na Rostam?
 
Sasa unadhani kuna makamanda wanamtaka Mbowe??
Hayimaye muda umefika, mbowe aachie kiti.
Eti Mbowe aachie kiti hata aibu huna, unaagiza kama nani au unafikiri mkiti anatoka mfukoni mwa chakubanga,

Wana Chadema ndiyo watakaoamua nani wanataka awe kiongozi wao sio chakubanga wala Magufuli.
 
Asilimia 90% wanaccm wanamkataa anaeitwa mwenyekiti kwasababu 1.5trion wamekua wachache tena wa kanda ile
 
Hicho chama ni chake Na kwewe nyie wengine shobo tu, Huyo ni mfalme sio Mwenyekiti kabla hujamshambulia wapambe watakumaliza
 
Lumumba wanajitahidi kuwasha moto ndani ya chadema ili moto uwake lakini wameshindwa,hii inatokana na kutumia mbinu mfu ambazo ilibidi wawaeleze watoto wa chekechea au mataahira.Kwakweli Lumumba wanamuogopa sana muheshimiwa Mbowe.
 
Back
Top Bottom