Moto wa Magufuli umesambaa kote

Moto wa Magufuli umesambaa kote

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
12,355
Reaction score
23,084
Kwa kweli kwa kasi hii ya rais wetu naiona Tanzania mpya baada ya miaka mitano ijayo. Nakumbuka kipindi cha nyuma kufuatilia tu TANESCO ili ufungiwe Luku au ubadilishiwe mita za zamani upewe luku ilikuwa shida sana utazungushwa mpaka uchoke, leo wafanyakazi wa tanesco wanazunguka nyumba baada ya nyumba wanabadilisha wenyewe.

Mungu ni mwema tumepata rais wa kweli baada ya miaka 30. Picha nimepiga kwa mbali kidogo
 
Attachments

  • 1448966233505.jpg
    1448966233505.jpg
    82.4 KB · Views: 1,197
Naomba Rais Magufuli aachwe afanye kazi, asiitwe na wazee wa CCM kutulizwa, nasema lazima aachwe afanye kazi, magufuli kuna kitu anakilenga kukifanikisha hapa nchini, na nadhani kwa miaka 2-3 tutaona Tanzania mpya
 
Mimi nimeripia tarehe 25 tarehe 27 wamekuja kufunga,asante magufuri
 
Mafundi hao wanazunguka nyumba kwa nyumba kufunga luku

Nyumba kwa nyumba imekuwa sensa hiyo. Hata kama mtu hajafanya wiring, au amefanya hajalipia anaunganishiwa tu? Unajua maana ya nyumba kwa nyumba?
 
Naomba Rais Magufuli aachwe afanye kazi, asiitwe na wazee wa CCM kutulizwa, nasema lazima aachwe afanye kazi, magufuli kuna kitu anakilenga kukifanikisha hapa nchini, na nadhani kwa miaka 2-3 tutaona Tanzania mpya

ccm wenyewe ndio waliompitisha na anatekeleza ilani ya ccm acheni unafiki wa kimachame
 
Nyumba kwa nyumba imekuwa sensa hiyo. Hata kama mtu hajafanya wiring, au amefanya hajalipia anaunganishiwa tu? Unajua maana ya nyumba kwa nyumba?

We utakuwa fundi umeme wa tanesco sio bure
 
Alaf izo nyumba kwenye picha hazikufuata ramani ya mipango miji lazima zibomolewe tu ili kwenda sawa na kasi ya magufuli
 
Naomba Rais Magufuli aachwe afanye kazi, asiitwe na wazee wa CCM kutulizwa, nasema lazima aachwe afanye kazi, magufuli kuna kitu anakilenga kukifanikisha hapa nchini, na nadhani kwa miaka 2-3 tutaona Tanzania mpya

CCM wakimzongazonga, anajitoa anaunda chama chake tunahama naye waisome namba vizuri
 
Picha inahusikaje na Uzi?

Hahahaaaa naona kama kuna nguzo ya Tanesco imefunikwa na viroba hapo mpaka mteja aliyeletewa atoe chochote ndipo isimikwe
 
Ila sipati picha raisi mstaafu JK na baadhi ya mazee ya ccm pia vijana waliojivika koti la ccm wanajisikiaje na mwendo huu wa JPM. Nahisi JK hatoki hata nje ya Ikulu yake huko Msoga
 
Ila sipati picha raisi mstaafu JK na baadhi ya mazee ya ccm pia vijana waliojivika koti la ccm wanajisikiaje na mwendo huu wa JPM. Nahisi JK hatoki hata nje ya Ikulu yake huko Msoga

Wameduwaa, kwani unamsikia yeyote kati yao akisimama kwenye majukwaa kushabikia yanayotokea? kuanzia mwenyekiti mpaka wafurukutwa wote kimyaaaaa!!! nina mashaka wanajutia mapendekezo yao!!
 
Nyumba kwa nyumba imekuwa sensa hiyo. Hata kama mtu hajafanya wiring, au amefanya hajalipia anaunganishiwa tu? Unajua maana ya nyumba kwa nyumba?

Embuu jiongezeee mkuu,mbona unataka kuwa mzigo?hauelewi ninii?!
 
Back
Top Bottom