Moto wa Magufuli umesambaa kote

Moto wa Magufuli umesambaa kote

Walidhania Magu ni 'one of us' kuuuumbe......hawakuonyeka kwa yaliyotokea Zambia na Malawi. Ukweli ni kuwa hata kukiwa na ufisadi namna gani kuna watu wachache wenye uchungu na nchi yao. Safari hii kungekuja rais kama JK jeshi lingetwaa nchi!

Acha ale mihela yake huko Msoga, hataifurahia. Furaha ya pesa ni kupewa heshima.
 
Back
Top Bottom