Moto wa CHADEMA wazidi kuipasua kichwa CCM jijini Mwanza

Ng'wana Sweke!

Updates Pleas! Kama zipo!

Tumechoka na mafisadi!

Mkuu CDM tumeshinda pingamizi kwa mkurugenzi wa jiji...uwanja uko huru na makamanda tumeshaingia kazini kitambo..Kata itakomboleka mkuu wala usihofu.
 
Mkuu CDM tumeshinda pingamizi kwa mkurugenzi wa jiji...uwanja uko huru na makamanda tumeshaingia kazini kitambo..Kata itakomboleka mkuu wala usihofu.

Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleoooooo!!

Hakika hakuna lisilowezekana!

Mabadiliko ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi!
TWANGA KOTE KOTE,MSAKO MLANGO HADI MLANGO!

Mpaka kielewekeeeeeeeeeeeee!!
 
Aisee endelea kutuja habari za Mwanza mpaka siku ya Uchaguzi, namjua sana Jack Masamaki hana uwezo wowote alikuwa anamtegemea sana mshkaji wangu anaitwa Bernard Costantine sema Jack ni mshkaji kinyama wa Ridhwani na Costantine Kanyasu maana nilikutana nao hapa ofisini wanafuatilia issue za kuvua....afu mshkaji shule hana kabisa.

Danny Kahungu najua ana uwezo sana na ana dhamira ya kuendeleza pale Kirumba afu ni mwanamapinduzi wa ukweli,,,,mpeni sapoti mshkaji aisee.

Afu Jack anamaindisha sana masuala ya ndumbam hata familia yake wanamjua ashawatemesha life washakaji kibao katika harakati zake za kutafuta utajiri,,,mambo yamemgeuka kageukia politics,,,,nadahani ndo ile stori kuwa mbwa akitaka kufa anabweka sana,,,,ngoja amalizie mihela yake kwa kuhonga maana naamini Kirumba hapati kitu....mwenyewe nitatia maguu mwezi huu katikati nimpe sapoti mshkaji wa CDM

LONG LIVE CHADEMA, LONG LIVE DANNY KAHUNGU, LONG LIVE WAPAMBANAJI
 
Are you really a great thinker? If the answer is YES, give reason for your arguments. Sio kusema chama cha magamba kitaendelea kutamba hadi mwisho wa dunia, KIKWETE anakulipa kiasi gani kwa kushabikia ujinga? Umeachwa sana. Tena bora hata ungelikuwa unajua kuwa upo nyuma, mbaya zaidi haufahamu kama wakati hauko upande wako tena..... very soory, utashtka tumefika MAGOGONI.PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSSS..... POWERRRRRRRRRR...NDIYO MTINDO WA KISASA......!!!
kuwa ccm ni lazima uwe kama mwendawazimu fulani kwa sababu hutaeleweka kwa mambo yanayofanywa nao hao ccm.
 
Ng'wana sweke,

Tunapanga ratiba ya kutia timu huko na makamanda wengine,tutakuwa na mwenyekiti wa Bavicha Geita kamanda Otto,pia tunamalizia kazi tuje na Diwani wa viti maalum kata ya Kagu dada Marceline simbasana na makamanda wengine.

CCM watake wasitake Kirumba ni ya Chadema na ole wao wajaribu kuleta mchezo mchafu,wajifunze tulichowafanyia wenzao wa jimbo la Ubungo
 
Aisee endelea kutuja habari za Mwanza mpaka siku ya Uchaguzi, namjua sana Jack Masamaki hana uwezo wowote alikuwa anamtegemea sana mshkaji wangu anaitwa Bernard Costantine sema Jack ni mshkaji kinyama wa Ridhwani na Costantine Kanyasu maana nilikutana nao hapa ofisini wanafuatilia issue za kuvua....afu mshkaji shule hana kabisa.

Danny Kahungu najua ana uwezo sana na ana dhamira ya kuendeleza pale Kirumba afu ni mwanamapinduzi wa ukweli,,,,mpeni sapoti mshkaji aisee.

Afu Jack anamaindisha sana masuala ya ndumbam hata familia yake wanamjua ashawatemesha life washakaji kibao katika harakati zake za kutafuta utajiri,,,mambo yamemgeuka kageukia politics,,,,nadahani ndo ile stori kuwa mbwa akitaka kufa anabweka sana,,,,ngoja amalizie mihela yake kwa kuhonga maana naamini Kirumba hapati kitu....mwenyewe nitatia maguu mwezi huu katikati nimpe sapoti mshkaji wa CDM

LONG LIVE CHADEMA, LONG LIVE DANNY KAHUNGU, LONG LIVE WAPAMBANAJI

CCM watakoma,kuanzia next week tutawapiga kushoto kulia....wamshauri huyo jamaa kama ni mfanya biashara mwenye clients walioenda shule ajitoe kwenye kinyang'anyiro kwa sababu fedheha atakayoipata itajeruhi beyond recovery business interest zake.Atashindwa vibaya
 
Kazi nzuri sana wanaMwanza kwa kuikubali chadema,
Nafahamu ccm wanajaribu kila mbinu, hata zile chafu kuhakikisha kwamba wanajinyakulia kata ya kirumba lakini dalili zote zinaonyesha kwamba wana wa kirumba bado wana imani kubwa sana na chadema.

Suala la msingi sana kwa wanachadema wenzangu wa mwanza ni kuendelea kuwa imara, kuzidisha mshikamano na kuhakikisha mnazitambua mbinu zote za ccm na kuzidhibiti.

Viva chadema, viva kirumba, viva mwanza.
 
Ng'wana sweke,

Tunapanga ratiba ya kutia timu huko na makamanda wengine,tutakuwa na mwenyekiti wa Bavicha Geita kamanda Otto,pia tunamalizia kazi tuje na Diwani wa viti maalum kata ya Kagu dada Marceline simbasana na makamanda wengine.

CCM watake wasitake Kirumba ni ya Chadema na ole wao wajaribu kuleta mchezo mchafu,wajifunze tulichowafanyia wenzao wa jimbo la Ubungo

Karibuni makamanda.
 
Mpango unafanyika ili siku ya kufunga Kampeni za Udiwani Zitto Zubeir Kabwe au John Mnyika waje katika ufungaji huo kurahisisha upigaji kura kesho yake......Jack tayari kesha firisika anatafuta pa kutokea maana pale Tanzania Fish Processors (TFP) washamtemesha ile cheo ya kununua samaki na kusupply baada ya kuwaliza
 
Back
Top Bottom