Moto wa CHADEMA wawaka Uganda

Moto wa CHADEMA wawaka Uganda

Petit ongelea tu ya TZ na UG haya ya Libya ni tofauti hata kama USA wana mkno wao katika yale maandamano lakini ki ukweli Libya uliyokuwa unaifahamu ilikuwa Tripoli na maeneo aliyotoka Ghadafi kwingineko hali ilikuwa mbaya sana!

Watanzania wote ni ndugu zangu na Affrika ni moja.
 
bora kuwa chini ya JK kuliko M7 ingawa wote ni ............
 
Hawa jamaa si ndio walijifanya kuiga sera za Chama cha Demokaya na Magwanda ( CHADEMA) za kupenda vitu vya bure bure wakashindwa kwenye uchaguzi, sasa wameiga tena upuuzi. Kweli wajinga wali wao, halafu watamfuata M7 kama huku CHADEMA wanavyo mlilia rais awafanyie wayatakayo

Lakini tayari wameshaionyesha duni kuwa Rais huyu hafai!!!!
 
Siyo kila maandamano na migomo huwa na lengo jema, mengine ni mabeberu huandaa watu kwa manufaa yao. Tafakar Libya waliandamana kwa sbb kipi kilipanda bei? Walikosa fedha za elimu? Walinyimwa matibabu?

Miundombinu ilikuwa duni? Lakini ukweli wa majawabu ya maswali haya na mengine mengi n Marekani wanataka kunyang'anya nchi ya Libya haki yake ya kumiliki rasilimali zake, hususan MAFUTA. Pia tukumbuke kuwa Uganda tayari ina mafuta, huenda MAREKANI wamegundua kuyapata kwa mikataba ya Buzwagi imeshindikana kwa Museven, sasa wamewatengeneza kina Besigye kwa malengo yaleyale ya Benghaz.

Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu Museven hakukurupuka kuita wawekezaji wakati waganda hawajawa na ujuzi na taaluma ya mikataba ya malighafi hii, hivyo ilibidi akasomeshe vijana wa kignda kwa maandaliz ya faida ya taifa hilo.

Kwa mbinu hiyo wamarekani wamegundua kwa Museven mchana unageuka usiku kwao, cha msingi kumuondoa tuweke akina Besigye, kwani wao wanahitaji kutawala tu.

Chonde wanajamii migomo na maandamano ktk nchi zetu tuyapime kwa wigo mpana, nyuma yake kuna watu wana agenda tofauti. Tukishaanza chinjana wao huwa wako LONDON, NEW YORK, PARIS na kwingine kwa walowatuma kazi.

Libya waliandamna kwa sababu ya utawala wa kiimla wa ukoo wa Gaddafi, kurithishana kama amabvyo inaanza hapa kwetu.

Kila kitu kuisingiza Marekani, yaani hata CDM walivyomsusia JK kwa wizi wa kura wa wazi nayo tuisingizie US. Migomo na maandamano haviwezi kuisha popote penye inequality kubwa kama hapa kwetu. Tutawasingizi US lakini chanzo ni uroho na ufisadi wa viongozi wetu.
 
Siyo kila maandamano na migomo huwa na lengo jema, mengine ni mabeberu huandaa watu kwa manufaa yao. Tafakar Libya waliandamana kwa sbb kipi kilipanda bei? Walikosa fedha za elimu? Walinyimwa matibabu?

Miundombinu ilikuwa duni? Lakini ukweli wa majawabu ya maswali haya na mengine mengi n Marekani wanataka kunyang'anya nchi ya Libya haki yake ya kumiliki rasilimali zake, hususan MAFUTA. Pia tukumbuke kuwa Uganda tayari ina mafuta, huenda MAREKANI wamegundua kuyapata kwa mikataba ya Buzwagi imeshindikana kwa Museven, sasa wamewatengeneza kina Besigye kwa malengo yaleyale ya Benghaz.

Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu Museven hakukurupuka kuita wawekezaji wakati waganda hawajawa na ujuzi na taaluma ya mikataba ya malighafi hii, hivyo ilibidi akasomeshe vijana wa kignda kwa maandaliz ya faida ya taifa hilo.

Kwa mbinu hiyo wamarekani wamegundua kwa Museven mchana unageuka usiku kwao, cha msingi kumuondoa tuweke akina Besigye, kwani wao wanahitaji kutawala tu.

Chonde wanajamii migomo na maandamano ktk nchi zetu tuyapime kwa wigo mpana, nyuma yake kuna watu wana agenda tofauti. Tukishaanza chinjana wao huwa wako LONDON, NEW YORK, PARIS na kwingine kwa walowatuma kazi.

Hivi unaelewa uchumi wa Libya?? Unaelewa maisha ya wananchi wa Libya? Libya is only considered developed country because of the Oil, Lakini benefit za utajiri huo wa mafuta zinaliwa na wajanja na hazimsaidii mwananchi wa kawaida. Pale resources za nchi zinapowafaidisha wachache, kiongozi yeyote anapoteza credibility kwa wananchi wake. Poor relationship kati ya viongozi na wananchi wao, ni opportunity kwa nchi tajiri ku-fulfill their own interest. Lakini kiongozi hawezi kulalamika kwasababu chanzo cha yote ni yeye kushindwa majukumu yake.
 
Back
Top Bottom