Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Wadau, kwa siku kadhaa kumekuwa na vuguvugu la chama kipya cha ACT kujiimarisha kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora.
Katika vuguvugu hilo, tumeshuhudia mada kadhaa zikianzishwa humu JF kwa lengo la kunakshi harakati hizo. Binafsi nilidhani kuwa huo ndo mwanzo wa mabadiliko ndani ya siasa za upinzani nchini na nilitegemea kuwa harakati hizo zitaendelea kwenye mikoa mingine.
Hata hivyo, mpaka sasa hali imepoa na hakuna dalili kuwa harakati hizo zitaendelea tena. Hali hii imenishtua na najiuliza, je ni kweli ACT ni chama makini cha Upinzani au ni mchezo wa kuigiza kama wafanyavyo CHADEMA?