Tumeona janga lingine la moto kwenye soko la Sido Mwanjelwa Mbeya mjini.
Kwenye luninga ITV jana jioni na leo asubuhi sote tumeona kilichotokea. Kilichonisikitisha sana ni kitendo cha askari aliyevaa kiraia akimrukia kwa teke la ninja mtuhumiwa ambaye tayari alikuwa amwekwa chini ya ulinzi.
Mtuhumiwa huyu alikuwa amezungukwa na askari karibu wanne na mara kutoka kusiko julikana anatokea huyu askarai anamrukia mtuhumiwa.
Cha kusikitisha zaidi askari wengine badala ya kufuata sheria wanaingilia na kumpiga mtuhumiwa kwa mateke ngumi nakadhalika.
HILI NI KOSA LA JINAI.
ITV inaoneka sehemu nyingi tu duniani na natumaini hata wakuu wa Polisi wameona hili.
Hatua lazima zichukuliwe.
Naomba kutoa hoja.
Umenena! Ingawa polisi duniani kote mishara si mikubwa ila nchi nyingi zilichofanya ni kupunguza gap! Na lingine tatizo la bongo polisi wengi ni std 7 a.k.a LY wa enzi zile je sasa tukifikiria mishara yao tufanyeje?Ni tatizo la kisaikolojia,wana maisha magumu,posho ni kutokana na rushwa tu,mishahara haitoshi,wako bize kuonyesha kazi yao ni nzuri na inalipa wakati sio,hawajui wamlilie nani,wanaishi na hasira na msongo wa mawazo kila siku,huishi wakitafuta wapi pa kupunguzia hasira zao,ghafla wanakutana na mtuhumiwa then wanapata faraja kwa kumpiga ili kupunguza hasira zao.MUNGU IBARIKI TZ
Bwana mukubwa Nkwesa Makambo, nakubaiana na wewe lakini kitendo cha kumpiga mtuhumiwa AMBAYE YUKO CHINI YA ULINZI NI KITENDO CHA KIHUNI.Ni tatizo la kisaikolojia,wana maisha magumu,posho ni kutokana na rushwa tu,mishahara haitoshi,wako bize kuonyesha kazi yao ni nzuri na inalipa wakati sio,hawajui wamlilie nani,wanaishi na hasira na msongo wa mawazo kila siku,huishi wakitafuta wapi pa kupunguzia hasira zao,ghafla wanakutana na mtuhumiwa then wanapata faraja kwa kumpiga ili kupunguza hasira zao.MUNGU IBARIKI TZ
Bwana mukubwa Nkwesa Makambo, nakubaiana na wewe lakini kitendo cha kumpiga mtuhumiwa AMBAYE YUKO CHINI YA ULINZI NI KITENDO CHA KIHUNI.
Natumaini IGP Mwema naye amiona hiyo picha toka stting room yake na naomba achukue hatua za kinidhamu juu ya hili.
Tumeona janga lingine la moto kwenye soko la Sido Mwanjelwa Mbeya mjini. Kwenye luninga ITV jana jioni na leo asubuhi sote tumeona kilichotokea. Kilichonisikitisha sana ni kitendo cha askari aliyevaa kiraia akimrukia kwa teke la ninja mtuhumiwa ambaye tayari alikuwa amwekwa chini ya ulinzi. Mtuhumiwa huyu alikuwa amezungukwa na askari karibu wanne na mara kutoka kusiko julikana anatokea huyu askarai anamrukia mtuhumiwa.
Cha kusikitisha zaidi askari wengine badala ya kufuata sheria wanaingilia na kumpiga mtuhumiwa kwa mateke ngumi nakadhalika.
HILI NI KOSA LA JINAI. ITV inaoneka sehemu nyingi tu duniani na natumaini hata wakuu wa Polisi wameona hili. Hatua lazima zichukuliwe.
Naomba kutoa hoja.
Polisi wanaiba na vibaka wanaiba, polisi wanapozidiwa ujanja ni kutumia nguvu ili kutengeneza mazingira mazuri ya wao kuiba. Baada ya kushindika polisi waliamua kusimamia vibanda vyote viteketee mota.