Pole bwashee halikua kusudio langu🤣Ile bwashee wewe ni mbaya sana , umeleta kiu , mpaka nimeamua kujitungua😀
Hivi nilikua nimesema ni nini inaombwaInaombwaje bwashee
Ahaa mule muleTamuu eti😁
🤣🤣🤣Nashindwa kualewa juzi kamera zetu zimemnasa kitaa cheupe😅
Evelyn Salt tangu awe platinum siku hizi anakoment kingereza tu.Seran zamani ndo alikua nani jamani...huyu mtu nimerudi nakuta ni maarufu kuliko Evelyn Salt
Weee....sijakutana nae kabisa 😅😅😅😅Evelyn Salt tangu awe platinum siku hizi anakoment kingereza tu.
Yupo anatafuta mke, amechoka kulala kama panga🤣🤣🤣Weee....sijakutana nae kabisa 😅😅😅😅
Wacha basi tutamuoza kinguvu huyo tutamtafutia mubaba sio yy awe mubaba....Yupo anatafuta mke, amechoka kulala kama panga🤣🤣🤣