Na huenda ni I'd zake mwenyewe zote
Jf watu hujilambaga wenyewe!..
Mbona hamjawai niambia kuwa naweza vaa nguo zikafanana na vinywaji 😜
Karibu tule nyama ya twiga 😁😁Mbona hamjawai niambia kuwa naweza vaa nguo zikafanana na vinywaji 😜
Napenda mnaikula wapi nije Chap.Karibu tule nyama ya twiga 😁😁
Karibu mwenetu wafaida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗View attachment 3641482
Seran ,She carries the weight of the world without asking for sympathy.🤔
😁😁 Twiga hadi kumfikisha mikoa ya pwani si umeishakmatwaaaNapenda mnaikula wapi nije Chap.
Iwe ni pande za kaskazini
Kamatwa kwa ajili yangu Baba.😁😁 Twiga hadi kumfikisha mikoa ya pwani si umeishakmatwaaa
Haha sikujua kama kuna I'd hiyo bwashee 🤣Mangi unataka kuleta taharuki tena, Mother Confessor na Seran si waungwana wawili tofauti?