Eh! Hii kali ngoja niitafsri baadae kwa kiswahili ili watu waielewe na waichangie.
Mother to her teenage daughter: I think this is the right time we should talk about sex.
Daughter (Excitingly): Sure mom, tell me what do you want to know.
Mother Faints...
Wakuu tafsiri isiyo rasimi ni hii!
Mama alimwita msichana wake aliyebalehe na kumwambia : Nafikiri huu ni muda mzuri wa kuongelea mambo yahusuyo mapenzi.(yeye anataka amfundishe binti yake).
Binti(kwa ujasiri): Ndiyo mama hebu niambie kipi unataka kufahamu kuhusu mapenzi? (akimaanisha mama mm kila kitu najua na sasa inatakiwa mimi nikufundishe wewe) Mama alikuwa mdogo kama piltoni