Most wanted

Ww ndio shem wangu wa ukweli atiii!

Hebu ona siku ile namtetea mtei mlipomchafulia kwa smile ona leo alivonigeuka!!!
Ama kweli tenda wema usingoje shukran!!!
Yan katika wapinzani wangu huyu mtei keshakuwa namba moja....ngoja tumtafutie Kipipi amriwaze kidogo...
Au unaonaje shem?
 
Yan katika wapinzani wangu huyu mtei keshakuwa namba moja....ngoja tumtafutie Kipipi amriwaze kidogo...
Au unaonaje shem?
Hapana wala siwezi kumruhusu Kipipi rafiki yangu awe na huyu mtu!
Atamgeuka mapema sana yani km alivonichenjia hv!!
Ngoja tu aendee kuhangaika mwenyewe!
 
Kalakabaho endelea kusoma utaona namna ndoa yetu ilivoimara,
Hata smile akija anapata nafasi ya mke mdogo na maza haus niko pale pale hakuna kuachika!
Pole sana swaiba lol!

Ipo siku.
Nitakuanzishia thread yako wewe Cantalisia?
 
Last edited by a moderator:
Mtei One

unanitakia nini?, niko bize namtafuta tablet.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…