Mkuu, sababu kuu ya kuandika nilichoandika ni kuonyesha kuwa allocation iliotengewa jeshi letu ni kubwa sana compared na lenyu, hata kama hatuna idadi kamili. Its not a factual statement but at least you got what I was insinuating. Am not a war enthusiast, so sina raha sana nikiona serikali yangu ikitenga hela nyingi kwa wanajeshi kuliko idara nyingi muhimu kwa mwananchi wa kawaida, lakini ukweli lazima usemwe.
hahahaha wanipa raha weye. wamaanisha ustadi wenyu wa kijeshi ndio uliomfanya Uhuru na kagame walegeze msimamo wao wakuitenga TZ, ni aidha wewe si msomi wa current affairs ama you are living in your own world.
Nakubaliana na wewe kuwa huwezi research jeshi la mwenzako ukaja na conclusive results, lakini kuna mambo yako hadharani ndio tunayo ya discuss. sina ubaya eti.
Sasa ukiijua sababu ya Uhuru na Kagame kuitenga Tanzania kwenye hii jumuia Ndo utajua na sababu ya kwanini walilegeza huo msimamo wao!
Unafanya mchezo na Tz wewe?!
Sifanyi mchezo na TZ, tumekuja kujadili takwimu hizi nanyi mme pinda mada ikawa kama kawaida us versus them. sina ubaya na Tanzania mie, lakini ukweli usemwe bana, JWTZ halioni hata chembe kwa KDF, wakina Live fire wamebobea sana kwa haya mambo mie ni spectator tu.
Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.
Nipe mifano kama kweli mko njema ktk strategies
Idd Amin alikuwa na vifaa vingi vya kisasa ila mbinu hakua nazo....Kenyan should not underestimate TZ.
Idd Amin alikuwa na vifaa vingi vya kisasa ila mbinu hakua nazo....Kenyan should not underestimate TZ.
KDF sio wenzetu kabisa na sibishi!! maana TPDF halijawai kukwiba bidhaa kwa maduka!!Y'all fruits dont know what you are talking about. Mnadhani KDF ni wenzenu?
Aliizidi Tz kwa Model 2 za MiG na Tupolev Tu-22 ambazo TZ hazikuwepo!! Alikuwa ta Vifaru T-54 na 55 ambavyo ni juu ya JWTZ! aliizidi TZ kwa BM model ambazo hata hivyo zilitekwa zikageiuziwa kwao! Alipewa msaada wa wanajeshi kama 2,500 from Libya na vifaa vya kisasa pia ila still JWTz walisimama imara! Nahisi nimekujibu kuwa I. Amin alikuwa na vifaa gani vya kisasa!!Nduli Idi Amin alikua na vifaa gani vya maana?
Strategies zipi mlizonazo ninyi wa-Kenya? Sidhani kama mngekuwa na jeshi zuri mngehangaika kiasi hicho na Al-Shabab!! Mpaka leo bado hamjaweza kuwatokomeza hao watu. Kwa ufupi jamani hamna jeshi ninyi!!Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.
Tanzania ina ndege 8900 na nyambizi 200
Y'all fruits dont know what you are talking about. Mnadhani KDF ni wenzenu?
Nimeipenda Sana hii ya KENYA DRINKING FORCE (KDF) jinsi walivyopiga ulabu pale Westgate!
Jeshi la tanzania ni la ngapi!?
7.LIBYA
6.KENYA
5.ALGERIA
4.NIGERIA
3.SOUTH AFRICA
2.ETHIOPIA
1.EGYPT
MJUMBE HAUWAWI....
Source:Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider
The Global Fire Power ranking, or GFP, measures countries military strength and assigns a power index number in order to compare them to other countries. Many factors are taken into consideration, and smaller countries can compete with larger ones due to points given for refinement and technological advancemen - See more at: Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider