Most Pirated Films Ever

Hhahahaha...now i get ya!!Hutaki kumaliza bundle ehhh?!

Kwanza kwa bundle hata sijisumbui... kwa ku browse kwenyewe unakua na modem mbili
moja ikigoma unaenda mtandao mwingine.. kaazi kweli kweli...lol
 
Mie sijaiona hata moja lol.

ha ha ha.... mmmh! naangalia hivi katika subscribed topics naona Faiza Foxy...
nikashangaa what is she doing hapa ktk entertainment??? lol
No wonder hujaangalia.. BUT ngoja turudi nyuma... wewe si unasemekana ni mimi??

Hivi katika forums unazotembelea bado unakutana na hii??
(alafu kuna topic hujanijibu kweny siasa kule...)
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kwanza kwa bundle hata sijisumbui... kwa ku browse kwenyewe unakua na modem mbilimoja ikigoma unaenda mtandao mwingine.. kaazi kweli kweli...lol
Hahahaha....kaazi kweli kweli!!Kila kitu kinaenda kwa mgao....
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
ha ha ha.... mmmh! naangalia hivi katika subscribed topics naona Faiza Foxy...
nikashangaa what is she doing hapa ktk entertainment??? lol
No wonder hujaangalia.. BUT ngoja turudi nyuma... wewe si unasemekana ni mimi??

Hivi katika forums unazotembelea bado unakutana na hii??
(alafu kuna topic hujanijibu kweny siasa kule...)
Labda nyie mapacha msiojuwana...!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
X-P mimi siwaoneii hata huruma, the entertainment industry in hollywood
makes loads of money acha hizi wanazokosa kwa njia ya Piracy!

Piracy inaniboa tu Bongo, ingawa kimtindo nimo...
Ni kweli unayosema, hawa jamaa wachoyo sana, yaani hata ukinunua DVD au CD hawataki hata umuazime ndugu yako au hata jilani, wao wanataka kila mtu anunue kopi yake.
 
ha ha ha.... mmmh! naangalia hivi katika subscribed topics naona Faiza Foxy...
nikashangaa what is she doing hapa ktk entertainment??? lol
No wonder hujaangalia.. BUT ngoja turudi nyuma... wewe si unasemekana ni mimi??

Hivi katika forums unazotembelea bado unakutana na hii??
(alafu kuna topic hujanijibu kweny siasa kule...)

Mie na randa randa koote tu, nothing much to do, killing the boredom hapa, ila kuna watu wako serious humu, mnhhhh. Ntapitia huko kwenye siasa, nikiikuta ntakujibu.

Halafu hiyo list ya movies nimei save ngoja niingie kwenye ma torrent, nizi download, labda they'll keep me away for some time, did you notice, its addictive here!
 
Nimewakamata ma"Pirates of the Caribbean." Aisee, hivi mnawezaje kutazama movie zote hizo? Nimenunua Harry Potter and the goblet of fire, 2012, AEONFLUX etc lakini hakuna hata moja niliyomaliza kutazama. Hizo terabytes za movie naona kama mnanidanganya.

@FaizaFoxy

Umepotea njia, usije ukalianzisha na huku...................
 
Swali sio kuwa kuna program ya kutrack au la swali ni siku ISP wako akibanwa atakutaja au hapana? Maana ISPs wana info zote za nini ulidownload site gani umetembelea and blah blah sasa wakitwangwa na mlawsuit wa kufa mtu lazima wakuunguze tu.
Nina juwa sana kuwa kwenye masuhala ya internet hakuna siri, kila unacho kifanya kikitakiwa kinapatikana, hata uki delete wakikitaka kinakuja kama ukukiondoa vile.

Uku ninapoishi kuna website moja tu ndio imezuiwa, Piratebay, ukibofya tu, linakuja onyo na hawakupi access za kwenda kwenye hiyo website, lakini hizi zingine, tunapeta tu.
 
Nimewakamata ma"Pirates of the Caribbean." Aisee, hivi mnawezaje kutazama movie zote hizo? Nimenunua Harry Potter, 2012, AEONFLUX etc lakini hakuna hata moja niliyomaliza kutazama. Hizo terabytes za movie naona kama mnanidanganya.

@FaizaFoxy

Umepotea njia, usije ukalianzisha na huku...................

Usijali 3D hapa ni "entertainment" kwa kwenda mbele. lol, duhh nimetoka nyuzi moja huko kuna mtu leo anahasira ya kufa! naona kama ana mke leo ataipata.. JF kuna vituko sijapata kuona, kaitukana JF yote, waliokuwemo na wasiokuwemo.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Dah! yaani kama wanayo program ya ku track wanao pakuwa muviz kiharamia, naona watanibamba, maana nina 2+TB just muviz tu, na bado mzigo unaendelea kuongezeka... kazi ni hapo wataka ponambia nilipe kila muvi moja jasti $1, nimekwisha!!

Kumbe na wewe una pirate safi.

Kuna jamaa wananisshangaa mm navypenda pirate wakati mi nawashangaa wao wanaibiwa kwa kunua movie za wachina amabo pirated alafu wanauziwa.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Ni kweli unayosema, hawa jamaa wachoyo sana, yaani hata ukinunua DVD au CD hawataki hata umuazime ndugu yako au hata jilani, wao wanataka kila mtu anunue kopi yake.

Hapo sasa.. bora hii hii kibongo bongo...
 
Mie na randa randa koote tu, nothing much to do, killing the boredom hapa, ila kuna watu wako serious humu, mnhhhh. Ntapitia huko kwenye siasa, nikiikuta ntakujibu.

Halafu hiyo list ya movies nimei save ngoja niingie kwenye ma torrent, nizi download, labda they'll keep me away for some time, did you notice, its addictive here!

Am telling you FF zingatia hio list... ni list kamili.. no wonder the piracy...
Killing boredom eeeeh?? safi saana
 
Nimewakamata ma"Pirates of the Caribbean." Aisee, hivi mnawezaje kutazama movie zote hizo? Nimenunua Harry Potter and the goblet of fire, 2012, AEONFLUX etc lakini hakuna hata moja niliyomaliza kutazama. Hizo terabytes za movie naona kama mnanidanganya.

@FaizaFoxy

Umepotea njia, usije ukalianzisha na huku...................

3D wewe nakujua mvivu wa movies, ukipata ulotaka basi huna haja ya kumaliza
Alafu hio ya Potter sina wala sijaangalia, itabidi tu iwe yangu... au sio??? lol
Aisee hata mimi nilishtuka kumuona twin wangu hapa...lol
 
Kumbe na wewe una pirate safi.

Kuna jamaa wananisshangaa mm navypenda pirate wakati mi nawashangaa wao wanaibiwa kwa kunua movie za wachina amabo pirated alafu wanauziwa.
Hapo sasa, alafu hawalalamiki kuwa ni pirate.

Huwa najitahidi kila mwenzi kumaliza 30GB walizonipa mkuu, maana kuna wakati sifikishi hata nusu.
 
Usijali 3D hapa ni "entertainment" kwa kwenda mbele. lol, duhh nimetoka nyuzi moja huko kuna mtu leo anahasira ya kufa! naona kama ana mke leo ataipata.. JF kuna vituko sijapata kuona, kaitukana JF yote, waliokuwemo na wasiokuwemo.

Well, I have got to go. But I must say one thing.... honestly..... It's so strange to see FF speaking as friendly as this. To me.. a suprise of the day. I wish you were this person at least once a week.. I mean it. However, this is not what we should discuss now... so enjoy. Love you all.
 
I drink to that....
We love you too 3D.
 
Back
Top Bottom