Na scientific laws,theories & principles zao at hand ni zipi,ungeainisha baadhi in short. Matabu mengi ya Chemistry (Organic,Physical,Inorganic) Physics( Mechanical hadi Quantum and Nuclear ) nk,sijakutana na majina haya na hiyo miaka. Hawa wengine wamwesikika sana Mf Newton laws of motion 1-3, Eistein"s photoelectric emission and energy E=mcxc.nk
You are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata Huduma bora kutoka kwao. Mungu hatakuuliza ulitukana wangapi Bali ulitumiaje ujuzi/elimu yako kuwasaidia wangapi??Muslim University of Morogoro (MUM)
Hoja yangu ni ya kuunga mkono hoja uliyotoa kwa vile naona waliolezwa kama walikuwa historians tu,sijawahi kutana na scientific theory au principle zaoSijakuelewa unasema islamic scholars. Ndiyo maana nimewauliza laws etc zao ni zipi
Hoja yangu ni ya kuunga mkono hoja uliyotoa kwa vile naona waliolezwa kama walikuwa historians tu,sijawahi kutana na scientific theory au principle zao
Hakuna povu lolote hapo mkuu. Ni ushauri tu tena wenye tija. Samahani kama kitu pekee ulichoona hapo ni povu tena la kufikirika!Dah mkuu povu sana, hata hujui kusoma kwenye mstari. Taratibu kaka.
Ukiona haiingii kichwani jiulize tatizo ni nani?? Huenda ikawa pia lugha ni shidaTell us in simple language what each of them invented or discovered. eg steamship. The wheel. Fire. Aeroplane. Diesel engine . light bulb etc sio theories ambazo haziingii kichwani
Mkuu kwani kafiri ni tusi?You are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata Huduma bora kutoka kwao. Mungu hatakuuliza ulitukana wangapi Bali ulitumiaje ujuzi/elimu yako kuwasaidia wangapi??
Wangekuelewa wewe mambo yangekua mazuri sana....sioni sababu ya malumbano yote haya kwakweliYou are not serious! Waislamu Tanzania ni zaidi ya nusu ya Watanzania. Sasa chuo kikuu kimoja tena chenye wanafunzi kiduchu si ni aibu ukilinganisha na vyuo vikuu vya wakristo? Angalia hospitality za rufaa kama KCMC na bugando nk. Ebu waislamu tuamke tuache kuita watu makafiri huku tukipata Huduma bora kutoka kwao. Mungu hatakuuliza ulitukana wangapi Bali ulitumiaje ujuzi/elimu yako kuwasaidia wangapi??
Are the discoveries religious beneficial
Duh!! You are a philosopher indeed, umehoji kisomi na kwa upeo wa nje ya box.Hapa ni pa kupita kimya kimya tu. Sijawahi hata kufikiria akina Newton, Maxwell, Einstein, Fermi, Watt, Hertz, Pavlov, Kopernicus, Kepler, Darwin, Mendeleev na magwiji wengine wa sayansi walikuwa wanafuata imani gani. Gregory Mendel (Baba wa taaluma ya Genetics) ndiye pekee najua kuwa alikuwa mtawa wa kikatoliki. Kwa nini unafikiri ni muhimu kuangalia michango ya wanasayansi hawa kupitia lensi ya dini zao?
By the way, naona umemsahau Tipp Tippu ambaye ni msambamba mkuu wa Ibn Battuta kimtazamo na athari zao kihistoria hasa kwa watu weusi zinashabihiana. Otherwise kazi nzuri ya ku copy na ku paste..
By the way hawa wanasayansi waligundua walichogundua kwa sababu ni Waislamu au wangeweza kugundua walichogundua hata kama wangekuwa wafakamia kitimoto? I guess what I am asking is: Uislamu wao una uhusiano gani wa moja kwa moja na ugunduzi wao wa kisayansi (and vice versa)?
Usijali, Kwa maana wanaitwa Famous Muslim Scientists, historia yao inapaswa kusomwa madrasa tu. kwa maana hao wakina Newton, Einstein etc nao wangeitwa Famous Christian Scientists, historia yao nao ingefundishwa Sunday school tu. Lakini kwamaana hao kina Newton hawatambulishwi kidini, we wasome tu, hakuna namna.Naona makafiri wakabetua stuli? Maana huko shuleni tunasikia kina Newton, Einstein etc. Asante kwa thread mkuu at least nimepata mwanga juu ya michango yao kwenye science.
Fuatilia historian vzuri uone kuwa Western education Na philosophy zilitokea wapi kabla hujaanza kumeza propaganda.Wote hawo wakina Aristotle Plato walijifunzia misri Na maeneo ya Iran.Kila kitu nyie ni kulaumu makafiri tu. May be ni kwa sababu hata elimu ni yao na inaitwa "Western Education" na wanafundisha wanasayansi wao (tena bila kujali dini zao). Mkikazana kuwafundisha hawa wanasayansi wenu huko madrasa nadhani itasaidia sana badala ya kukaa tu na kulaumu makafiri kwa kila kitu. Badala ya watoto kukariri misahafu na hadithi za mtume tu wakariri pia na safari za akina Ibn Battuta na Tipp Tippu. Itasaidia sana kuondoa mikanganyiko na hii dhana ya kubetuliwa stuli na makafiri wa "Western Education"
We nawe! Sasa Wamisri wa kale walikuwa Waislamu? Hata kama akina Plato walijifunzia huko na walifundishwa na Waislamu huko Alexandria SO WHAT????????????????????Fuatilia historian vzuri uone kuwa Western education Na philosophy zilitokea wapi kabla hujaanza kumeza propaganda.Wote hawo wakina Aristotle Plato walijifunzia misri Na maeneo ya Iran.
Sasa unavyosema kuwa elimu ni yao unamaanisha niniWe nawe! Sasa Wamisri wa kale walikuwa Waislamu?
Soma comment #6 pengine itakusaidia.Sasa unavyosema kuwa elimu ni yao unamaanisha nini
sasa hao wa misri na wairan walikuwa waislamu??Fuatilia historian vzuri uone kuwa Western education Na philosophy zilitokea wapi kabla hujaanza kumeza propaganda.Wote hawo wakina Aristotle Plato walijifunzia misri Na maeneo ya Iran.