kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
kweli kabisa hivi SEPETU, PFUNKY,KALI ONGALA, TID.LEMUTUZ wamesoma shule gani na fananisha na MILARD AYO, MNYIKA, SHIGONGO nkKweli kabisa, na mifano tunayo mitaani, hakuna ubishi na unayosema, wengi wakitoka hapo ni king'eng'e cha kina Chris Brown, lakini akili za maisha hakuna, hawajuwi kupika, kufanya usafi wa kila aina na hata basic 1st Aid (Sayansi Kimu)...
Tukiongea kwamba tumesikia wakipasuwa mno vyuoni au huko nje waendapo baadaye hakuna! Ndipo tunaposhangaa, kumbe king'eng'e peke yake siyo sababu ya mtoto kupasuwa darasani!
Shule ziko overated, bei overpriced na Target yake haifiki hata asilimia 1 ya watoto TZ...
Tusubiri tuone kama bado wanapata wateja hasa wakibongo na vyuma hivi vilivyokaza..
Expatriates na wafanyakazi wa kigeni ndipo wanapoppeleka watoto wao, itakuwa vyema iwe kwa mishahara wanayolipwa na UN au makampuni ambayo hayakwapuwi hela hapa...
Hakuna jombaa, shule siyo mahindi kila mahali unaweza kuotesha.Mwanza na Mbeya hakuna hizi shule za kishua?
Ila hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Karabani bwana si unamzungumzia Director?P funky
kalabani
Kali ongala
Hawa ni product za IST masaki
Mimi mwanangu atapiga atlas (pre primary,namtupa agha khan,kisha mzizima, ,Mungu nibariki
Huyo huyo kalabanKarabani bwana si unamzungumzia Director?
Huyu Jamaa kwenye avatar yangu ni product ya Tanganyika
Master J constantine.
Mkuu, mtoto aliyesoma IST unataka afikirie kufua?,sijui kupika?.Hayo ni mawazo ya uku uswahilini.hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Aseeh, wewe ulisoma wapi maana mie shule niliikimbia.Huyo huyo kalaban
Leah master jay alipita pale, wako kibao huku msasani ,wengine mama zao walimu mtoto anapewa nafasi IST
Hahaha,wkt hm yuko house girl kavaa hadi uniform,kwanza wengi hawaishi uswaziMkuu, mtoto aliyesoma IST unataka afikirie kufua?,sijui kupika?.Hayo ni mawazo ya uku uswahilini.
Mie pia ilikimbia ila anaijua IST tzr mno mno,cheza sana mule enzi za Rons mintjens ( kocha wa simba sc na mwalimu istAseeh, wewe ulisoma wapi maana mie shule niliikimbia.
Mbona unawasahau Mo,Manji,Master J.kweli kabisa hivi SEPETU, PFUNKY,KALI ONGALA, TID.LEMUTUZ wamesoma shule gani na fananisha na MILARD AYO, MNYIKA, SHIGONGO nk
Mkuu umenitoa machozi kwa kicheko...kwa mwaka mkuu!yaani vyuma huwa havikazibkotekote kuna watu wana ukwasi toto kamasi unalishape akili kwa 60m kwa mwaka halafu lirudi na kimimba nachoma shule
haha siku ukiwa na hela naamini utahariri ulichokiandika.hata siku nikiwa na hela kama za baresa bado mtoto wangu atasoma shule za serikali kuanzia darasa la 1 hadi chuo
Mo ,manji walikua wakishua sana,masela ni hao akina kalaban,dagima 120,master jay,p funky ,omary bakhresaMbona unawasahau Mo,Manji,Master J.
Kama unayopesa hizi shule za kata sio za kumpeleka mwanao. Hao uliowataja wenye angalau mafanikio ni wawili kati ya millions.
ah wapi wana u genius gani vichwa maji tu! ku manage mali za urithiu vizuri sio lazima uwe geniusKina mo dewji na kina manj ndo wamesoma hyo IST,...sasa angalia vichwa vyao,..hiv ushawai msikia dewj au manji wakiongea kuhusu ulimwengu wa biashara,ndo utajua hawa jamaa ni ma genius hata kama walirith mali,ku run bi empires kama zile inabid uwe genius asee,hawa jamaa wanaongeaga point had unajiuliza,hawa jamaa hii elim wametoa wap
Kwa maono yake yeye anaona wanaosoma hizo shule graduates wake hawana mafanikio kama hizi zingine... ndiyo nikamtolea mifano ya waliofanikiwa.Mo ,manji walikua wakishua sana,masela ni hao akina kalaban,dagima 120,master jay,p funky ,omary bakhresa
Kumanage Mali ni ugenius mkuu,wengi Huwa wanafeliah wapi wana u genius gani vichwa maji tu! ku manage mali za urithiu vizuri sio lazima uwe genius