Most Corrupt Countries In The World 2012

List feki kweli ilipasa iwemo Tanzania, Zimbabwe, Nigeria,nk
 
Hawa watu wapo London, Washington et al, wanaanza kuleta hadithi za corrupt countries in the world, what do they know.

Rushwa iliyopo jeshi la polisi peke yake inatosha kutuweka kwenye top 3, ukichanganya na sekta ya afya, siasa, madini, manunuzi etc, I dont see Tanzania out of that list.
 
yataman iyo tz ni noma' we fkria tu ktambusho cha taifa rushwa, sensa rushwa, hata zaanati?..je huko juu..swala la noth korea napnga
 
Hawa watu wapo London, Washington et al, wanaanza kuleta hadithi za corrupt countries in the world, what do they know.

Rushwa iliyopo jeshi la polisi peke yake inatosha kutuweka kwenye top 3, ukichanganya na sekta ya afya, siasa, madini, manunuzi etc, I dont see Tanzania out of that list.
Aisee umeisahau mahakama, uko kila hakimu ana bei yake...!
 
Transparency international world corruption index:
1. Somalia 1
1. North Korea 1
3. Myanmar 1.5
3. Afghanistan 1.5
5. Uzbekistan 1.6
5. Turkmenistan 1.6
5. Sudan 1.6
8. Iraq 1.8
8. Haiti 1.8
10. Venezuela 1.9
10. Equatorial Guinea 1.9
10 Burundi 1.9
13. Libya 2.0
13. Congo, Democratic Republic of 2.0
13. Chad 2.0
13. Angola 2.0
17. Yemen 2.1
17. Kyrgyzstan 2.1
17. Guinea 2.1
17. Cambodia 2.1

Nilidhani Tanzania Tutakuwepo Kwenye Hii List
Kama Tanzania haipo kwenye hii list basi itakuwa ni fake, there is no way Tanzania ikosekane humu!!!!Mahela yoote yaliyofichwa huko nje halafu useme sio currupt???
 
Kuna jamaa yangu anatoka Vietnam anasema rushwa hadi kwenye familia, sasa hii list sijui kaitoa wapi huyu mkuu! Anyway, Sishangai kitu kimoja katika 3 bora, hizo nchi marekani ana mzozo nazo kwa hiyo mara nyingi lazima zipewe majina mabaya ili kuhalalisha ya baadae.
 
Kama Tanzania haipo kwenye hii list basi itakuwa ni fake, there is no way Tanzania ikosekane humu!!!!Mahela yoote yaliyofichwa huko nje halafu useme sio currupt???
Wakiweka na Tanzania mtashtuka muanze kuwanyima resource!! Hapa ni mwendo wa kupambwa hata kama hamfanyi vizuri!! Na ndipo viongozi wetu wanapokuwa bigheaded na kusahau kabisa kufikiria.
 
Kwa ninavyo jua mimi, watoa taarifa kama hizi huwa ni Marekani and other countries zenye mrengo unaofanana na Marekani, nchi zile ambazo hawa jamaa wanavitega uchumi vyao vya kutosha, hata zingekuwa corrupt vipi huwa hawazichafui hata kidogo, Tanzania kwa mfano, wao ndio wamiliki wa makampuni mengi tu yanayoendesha nchi hii, Migodi yote, share holders wake ni Marekani though utasikia Head quarter iko nchi nyingine, mfano Barrick utasikia kwao ni Canada, Aglogold, utasikia ipo South Africa, mabenki kama stanbick, Stancheeter, Barclays, makampuni ya simu with the exceptional ya Zantel, yote haya yanatoka kwao, so kwavile wana benefit from here, hutasikia hata kidogo wakiisema vibaya Tanzania, hiyo ndo siri, rejeeni tena hiyo list the recall uhusianao wa hizo nchi na Marekani + maswahiba zkae, you will see wote hao kama sio robo tatu yao, hawana uhusiano nao mzuri, hiyo ndo siri!
 
Transparency international world corruption index:
1. Somalia 1
1.
North Korea 1
3. Myanmar 1.5
3.
Afghanistan 1.5
5. Uzbekistan 1.6
5. Turkmenistan 1.6
5. Sudan 1.6
8. Iraq 1.8
8. Haiti 1.8
10. Venezuela 1.9
10. Equatorial Guinea 1.9
10 Burundi 1.9
13. Libya 2.0
13. Congo, Democratic Republic of 2.0
13. Chad 2.0
13. Angola 2.0
17. Yemen 2.1
17. Kyrgyzstan 2.1
17. Guinea 2.1
17. Cambodia 2.1

Nilidhani Tanzania Tutakuwepo Kwenye Hii List

Hizi info. is crapy, huwezi pata info za uhakika katika nchi nyingi ulizo zitaja. mfano mkubwa ni hapo kwenye red, nchikama somalia na NK hata reporter hawa ruhusiwi kuingia...sasa investigation gani zilizofanyika na kufikia kupata takwimu kama hizi........GABAGE
 
Transparency international world corruption index:
1. Somalia 1
1. North Korea 1
3. Myanmar 1.5
3. Afghanistan 1.5
5. Uzbekistan 1.6
5. Turkmenistan 1.6
5. Sudan 1.6
8. Iraq 1.8
8. Haiti 1.8
10. Venezuela 1.9
10. Equatorial Guinea 1.9
10 Burundi 1.9
13. Libya 2.0
13. Congo, Democratic Republic of 2.0
13. Chad 2.0
13. Angola 2.0
17. Yemen 2.1
17. Kyrgyzstan 2.1
17. Guinea 2.1
17. Cambodia 2.1

Nilidhani Tanzania Tutakuwepo Kwenye Hii List

Nadhani tanzania haijapimwa kwa hicho kipimo kilichotumika hapo juu....hata NIGERia haipo?
 
Ndomyana. Wewe ni popopo kweli, Burundi, North Korea, sudan, venezuela, Angola , Guinea zote za mpito. Halafu wewe popopo taarifa ni ya nchi(countries) ambazo ni corrupt sio Serikali. Makampuni ya kibinafsi na mashirika yanaweza kuwa corrupt na hapa haizungumziwi serikali tu. Unajua maana ya index?
 
Hii List feki...Hugo Chavez wa Venezuela naweza kuvumilia rushwa kweli'' hii itakuwa imepikwa na wamarekani, coz Chevez alifuta mikataba yote ya mafuta iliyokuwa imeingiawa na makampuni ya wamarekani...
 
North Korea ukikamatwa umechukuwa rushwa unanyongwa sasa hii list tunaambiwa wanaongoza Marekani bana.
north korea watu wanao banwa ni wananchi wa kawaida tuu. lakini viongozi na wanajeshi waishi maisha ya juu sanaa.
 
Wabongo kweli ni majinga hasa,sasa nchi yetu kuto kuwepo kwenye hiyo list ndio mnakasirika? Kama sio upumbavu nini,au ndio uchama unawasumbua? Bongo rushwa ipo kwa sana lakini kuna sehemu wametuzidi sana tu.
 
Hyo list umeiweka kwa manufaa yako binasfi ebu pitia report ya bank ya uswis utapata majibu yote,acha kutumika mkubwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom