Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapigaShilika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao ,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas apo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi wanaolindwq na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa uenda WANATUMIA natumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS ?
Umeshavimbiwa mchemsho wa nguruweiSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Ubayaubwela inaitwaKaka hawaitwi Allen's.
Jkt ipi mkuu?iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Naunga mkono hojaUmeshavimbiwa mchemsho wa nguruwe
Teknolojia mkuu ,akili na mapandikizi karibu kila nchi,Huyu IMAM kilichompoteza ni Whatsapp ,walipata location yake kupitia Whatsapp, So hakuna aliens Wala niniShirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hahaha π π π π π πUbayaubwela inaitwa
Ulicho Andika ndicho nacho fahamu kuwa wale watu wana mikataba ya Siri na hao watengeza software ...sasa akinachofanyika ni kuwa mwarabu bado hajaelimika ...anaanzisha vita na uadui na hao watu ...ila bado anatumia cjui ..ggle..Ist...wana twit...ehee hawajui..kuwa Kuna software za face detach....vinasa sura ..uso...sasa kama una vita na hao watu Rudi stone age kabisa achana na mtandao wa simu.Hawatumii ila ukitumia whatsapp sijui Facebook hata Google basi kwisha habari yako watakukamata tu ...Ndio maana wachina wanapiga ban .
Hata wamarekani na washirika wake hawaitaki Tiktok .
Na jamaa ni Sunni ,Iran wengi 90% ni Shia ,Inawezekana wamemchomaIran kuna wayahudi wengi.
Bado wanataka kuongoza dunia hapo baadaeShirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,