Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
MOSHI wanawake wengi wanamiliki nyumba kuliko wanaume . Wanawake wengi wanamiliki vitega uchumi na miradi mingi kuliko wanaume.
Ukiwa mtaani hasahasa bar au sokoni utaona wanawake wengi wanajishughulisha na utafutaji wa hela sana kuliko wanaume.
Kwa waliofika Moshi au wenyeji wa Moshi mtakubaliana na mimi. Wanawake wanachapa kazi sana kuliko vidume.
Ukiwa bar ndo utaona nguvu ya mwanamke vizuri.
Wanawake wa Moshi ni vijogoo ndo maana wanaume wa Moshi hawana kauli kwako na huishia kudundwa tu maana hawana jeuri.
Wanaume wa Moshi kama Wanaume wa Dsm!