MOSHI: Wanawake ni vijogoo kuliko wanaume

Mikoa ya kaskazini yote Arush+ KLM wanawake ndio kauli ya mwisho UKIOA HUKO tegemea kuburuzwa kama tambara la deki na kiukweli mapenzi hawajui ila ukitaka maendeleo lazima utayapata bila hata kupenda mimi hapa ninaye mmoja na nategemea kuwa na maisha mazuri hivi karibuni.
 
MOSHI wanawake wengi wanamiliki nyumba kuliko wanaume . Wanawake wengi wanamiliki vitega uchumi na miradi mingi kuliko wanaume.

Ukiwa mtaani hasahasa bar au sokoni utaona wanawake wengi wanajishughulisha na utafutaji wa hela sana kuliko wanaume.

Kwa waliofika Moshi au wenyeji wa Moshi mtakubaliana na mimi. Wanawake wanachapa kazi sana kuliko vidume.

Ukiwa bar ndo utaona nguvu ya mwanamke vizuri.

Wanawake wa Moshi ni vijogoo ndo maana wanaume wa Moshi hawana kauli kwako na huishia kudundwa tu maana hawana jeuri.

Wanaume wa Moshi kama Wanaume wa Dsm!
Ndio maana mnajifariji kutukana wanaume wa Dar kumbe huko mkoani mnalelewa na wake zenu.
 
Mikoa ya kaskazini yote Arush+ KLM wanawake ndio kauli ya mwisho UKIOA HUKO tegemea kuburuzwa kama tambara la deki na kiukweli mapenzi hawajui ila ukitaka maendeleo lazima utayapata bila hata kupenda mimi hapa ninaye mmoja na nategemea kuwa na maisha mazuri hivi karibuni.

Ukimpa mtaji wa laki 5 naizalisha mpaka utashangaa,sio hawa kila kukicha dela mpya
 
hakuna wanaume wajinga kama wa mikoani wawakilishi wao wa ubunge kama hawaishi dar wanaoupata nao wanahamia Dar yaani huwa wanahangaika kuja Dar kushawishi watu wakawaongoze halafu wako hapa wanapiga kelele wakijiita vidume lakini wanasahau wao siku zote ni watu wa kuongozwa
 
Mikoa ya kaskazini yote Arush+ KLM wanawake ndio kauli ya mwisho UKIOA HUKO tegemea kuburuzwa kama tambara la deki na kiukweli mapenzi hawajui ila ukitaka maendeleo lazima utayapata bila hata kupenda mimi hapa ninaye mmoja na nategemea kuwa na maisha mazuri hivi karibuni.
Hapo kwamba "UKIOA HUKO mikoa ya kaskazini, tegemea kuburuzwa ka tambara bovu, na wanawake kuwa na kauli ya mwisho", ni ufala wako mwenyewe mkuu.

Mwanamke yeyote anaweza kukupandia kichwani ukijilegeza kifala.
 
hizo ni biashara za wanawake kwa huku ni jambo la aibu mwanaume kuwa au kufanya biashara hizo........

Wanaume wamejikita kwenye biashara kubwa kubwa na zenye mantiki
 
hakuna wanaume wajinga kama wa mikoani wawakilishi wao wa ubunge kama hawaishi dar wanaoupata nao wanahamia Dar yaani huwa wanahangaika kuja Dar kushawishi watu wakawaongoze halafu wako hapa wanapiga kelele wakijiita vidume lakini wanasahau wao siku zote ni watu wa kuongozwa
Hapo umeongea nini akili tope kabisa.
 
Back
Top Bottom