Baba mwenye moyo
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 101
- 54
Mkuu unaizalilisha bangi herb is healing
hahahahaaaaaaaaa khaaaaa.Dokta mwaka aje na dawa ya kuwasaidia wanaume wa siku hizi.
Vidushe vinukta alafu wanalalamika mabwawa.
Kwani huo moshi wa bangi huko chini unasaidia nn hasa?Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k.
Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama MC maarufu, hata kwenye ma TV yupo, siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni, huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.
Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.
Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k.
Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama MC maarufu, hata kwenye ma TV yupo, siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni, huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.
Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.
mhm bangi kwenye papuchi.....kumbe sasa nilishajua kwa nini siku flani nililewa baada ya kuzama chumvini
Mkuu we n hatareeHuku chini bangi ikiwekwa inasaidia nini sasa?Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k.
Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama MC maarufu, hata kwenye ma TV yupo, siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni, huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.
Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.
Aseeeee njoo PMNifundisheni jinsi ya kuweka Moshi wa bangi kwenye Kei
Mmh namuogopa mke wako mie, ulisha tuchimba mkwaraAseeeee njoo PM
Wewe njoo nikuwekee Kaya kwenye K, usiogope mremboMmh namuogopa mke wako mie, ulisha tuchimba mkwara
Wewe nifundishe jinsi ya kufanya. Mtu wa kuniwekea yupo huko. Huko pm unaniwekeaje? Kuna bomba la kupitisha Moshi?Wewe njoo nikuwekee Kaya kwenye K, usiogope mrembo